Nchi hii JK aeleze wazi aliwezaje kwa miaka yote kumi kufuata sheria ya increment?
Having Haiingii akilini hata kidogo wafanyakazi wamekuwa vikaragosi'alijisemea Hayati Augustino Mrema',kwa maana wafanyakazi wamekuwa wanyonge hasa chini ya mwamvuli wa TUCTA, shirikisho la wafanyakazi hewa...
Huu mi mwaka wa nane hakuna increment kwa watumishi.
JK miaka kumi ya utawala wake aliweka increment kwa kila mtumishi wa serikali.
Achilia mbali kupandisha mishahara kwa kuwango cha juu kabisa. Ni vigumu kusema hili, lakini JK kwa uliyotenda kwa watumishi ni alama ambayo hakuna hata Rais...
Alizungumza na maafosa utumishi na viongozi wa tsc kutoka halmashauri zote jijini Dodoma kuwa wale wote wana toa vyeo kwa kada zao wakome vitendo vya Rushwa.
Bila maneno mengi nakupongeza sana mheshimiwa Waziri George Simbachawene kwa kumulika hili.
Nchi hii wapo wakuu wa idara mbalimbali na wasaidizi wao ambao wapo waliopo kwa faida ya Rushwa. Wapo walio toa pesa na wapo walio toa ngono hadi ndoa kuvunjika.
Kwa agizo lako mheshimiwa najua wahusika...
Wimbo ulio toka juzi wa Nipeni Maua Yangu
Kuna sehemu ROMA yeye amechagua siku uchaguzi ukija hapa Tanzania basi hatachagua CCM bali atachagua JIWE kwa kuwa kiongozi wa vyama pinzani DJ amebwafa manyanga.
Kwa muktadha huo wa ROMA hata mimi nawashauri wengine wanaodhani siasa ni mpaka kiongozi...
Kuanzishwa miradi mashuleni nayo mpaka Rais wa nchi?Basi hakuna haja ya kuwa na viongozi wa ngazi za chini.
Mama kawaputia wafanyakazi tahfifu baada ya kupigika kwa miaka saba
Yaani Hadi tume iliyoundwa kukasimu nyongeza ya mshahara mnadhani haukuwa terms?Acheni Serikali ithamimi watumishi wake positively.Asingeongeza mngesema Serikali haijali wafanyakazi
Watu wa kulalamika kwa kila Jambo litendwalo na Serikali hataisha.Yaani Serikali imeamsha ari kwa wafanyakazi wake lakini BADO Kuna watu hawaoni jitihada hizi
Hilo ni pigo kubwa kwa watumishi ndani ya muda mfupi.Mchengelwa kwa kuwajali watumishi alileta tabasamu kubwa kwao,Huyu anaye kuja ni mtu ambae watumishi wanamjua kama mtu ambae hana uthubutu wa kuwatetea wala kuumia kwa shida za watumishi.Nfio maana unaona watumishi wamenyong'onyea ghafla
Nimefuatilia Sana nyendo za Rais Samia Suluhu Hasan,anajua siasa Sana Ila anajua namna ya kuwa mtulivu na anajua kuwasoma wapinzani ndani na nje ya chama chake,subirini muone
Tangu awamu ya sita ilipo ingia madarakani wafanyakazi tulishuhudia baadhi yao wakianza kulipwa malimbikizo yao ya muda mrefu Sana,lakini baada ya muda mfupi tena Ni kama zoezi hili limekwama tena
Mimi kama mfanyakazi naomba serikali ilipe malimbikizo ya wafanyakazi Hawa kwa sababu Kuna...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.