Search results

  1. S

    Ofisi za selcom paypoint

    nashukuru sana wakuu, nimewapata. mbarikiwe sana.
  2. S

    Ofisi za selcom paypoint

    thanx mkubwa, be blessed.
  3. S

    Ofisi za selcom paypoint

    Wadau, naomba kuelekezwa mahali zilipo ofisi za selcom paypoint kwa hapa Dsm. natanguliza shukurani...
  4. S

    Msaada: Wanunuzi wa Graphite.

    subiri wachina au mawakala wao watakuja mda si mrefu...
  5. S

    Pata bajaj toyo mpya t 326 cdv ya mizigo

    hiyo bei ulotaja ni ya mpya dukani, nenda kishen (agent wa toyo) anauza toyo guta kwa 3.1 mil kama vipi mi nikupe 2.8 mil
  6. S

    miaka 48 ya muungano, je kero za muungano zimatatuliwa...

    suala la muungano ni utata mtupu...
  7. S

    Kutoka Bungeni - Jumamosi 21, Aprili 2012 (Videos)

    leteni updates, huku nachingwea washachukua umeme wao
  8. S

    Msiba: Nachingwea t.t.c

    pole familia ya Anna, pole wanachuo na na uongozi wa chuo nachingwea ttc
  9. S

    Hebu tukumbushie tuliozaliwa miaka ya sabini na....

    sie wa kusini tulikuwa na mabasi yetu maarufu TITICO na MALOLOTA, kuna wakati basi la MALOLOTA lilipotea na abiria wote kijiji cha MANDAWA RUANGWA, likaja kuonekana baadaye.
  10. S

    Uzinduzi wa kampeni za CCM Arumeru now...

    tupatie sera na ahadi za sioi kwa wana arumeru
  11. S

    Siku ya Wakinababa Duniani

    haki sawa, majukumu kwa wote
  12. S

    Msaada: Mozilla firefox

    WADAU, kwa yoyote yule anaejua link ambayo naweza pata mozilla firefox kuanzia version 10 na kuendelea naomba anisaidie, nimejaribu ku'google nikapata but ninapo'download zina'fail... msaada plz
  13. S

    Msaada: Computer yangu ina'ganda ninpofungua web

    baba mtu, dav22, biohazard na ikindo nashukuru kwa ushauri wenu, nitaufanyia kaz the nitawapa feedback
  14. S

    Msaada: Computer yangu ina'ganda ninpofungua web

    WADAU, natumia computer DELL VOSTRO, toka ninunue haijawahi kunisumbua but kuanzia jana ninapoenda upande wa internet na kufungua web yoyote ina load na kukubali mpaka inaleta homepage, ikifika hapo tu inaganda (jam) hapohapo na inagoma kuendelea na application zozote za internet. kwenye kazi...
  15. S

    Serial number adobe photoshop cs4

    mi natumia safaricom direct, niko mpakani mwa tz na kenya,
  16. S

    Serial number adobe photoshop cs4

    peterkk, kwanza nashukuru sana the way unvyonisaidia, kuhusu kukuita mkuu am sorry, labda na mimi nikuombe usiniite kaka, mimi ni msichana wa miaka 15 niko grade 12 (same to F-IV), pls peterkk naomba unisaidie hiyo website ili ni'download usiku huu huu, thanx in advance...
  17. S

    Nyama ya NYANI

    mnashangaa kula nyama ya nyani? njooni ntwara na lindi muone tunavyo ila tena bila kificho, pia ipo nyama ya kenge (huyu ni mtamu hata huyo mdudu wenu hafui dafu), samaki nchaga (mnawaita panya pori) n.k
  18. S

    Naomba msaada kwa watumiaji wa Adobe photoshop cs3

    yah, hata ukitaka 1kb inakupa...
Back
Top Bottom