Search results

  1. Mpitagwa

    Rais Magufuli nisikilize kwa makini, Sitaki upoteze muda bure

    Tunaweza kuanza na nchi za Kenya, south sudan na India watutegemee sisi kwa chakula. India watutegemee kwa mbaazi
  2. Mpitagwa

    Spika Ndugai aishangaa serikali kusitisha ujenzi Bandari Bagamoyo

    Alichofanya Ndugai, ni kukabidhi usipika kwa Tulia mapemaaaa, Maana spika mzima kujifanya hajui kwanini mradi umekwama ni hatari sana. Wachina walitaka tuwape Aridhi wajenge wao bandari na viwanda. Eneo walilotaka ni kubwa mno. Walioambiwa watukopeshe tujenge sisi walikataa. Wachina na wapigaji...
  3. Mpitagwa

    RC huyu bado atakuja kufanya jambo kubwa zaidi na la kushangaza zaidi na kuna mtu atakujutaa kuendelea kumlea

    Atakuja kumpiga ngumi mtu hadharani. Ndoo kilichonijia mara tu baada ya kusoma uzi wako. JF, we are here to stay.
  4. Mpitagwa

    Spika Ndugai: Bunge limeazimia kutofanya kazi na Profesa Mussa Assad si ofisi ya CAG. Ripoti itasomwa endapo haijasainiwa na Prof. Assad

    common sense ni kuwa maamuzi yanaanza siku yanapotolewa sio kabla ya hapo. Wakati maamuzi ya bunge yanatoka tayari CAG alishakabidhi report kwa rais. so speaker anamuamulu rais indirectly kuwa amrudishie CAG report yake?
  5. Mpitagwa

    ATCL kupeleka ndege Afrika Kusini pamoja na Airhostess walikuwa sahihi, tusichukulie kila jambo ni "ufisadi"

    Kwa uzi wa kiuelewa na ufafanuzi wa namna hii subiria kuitwa majina. Utasikia hoo wakala wa mabeberu, umekosa uzalendo. Ila mkuu haya mambo unayajua na umeelezea kitaalam. Hongera
  6. Mpitagwa

    Mjue Peter Mollel Gumbo aka Pierre Konki Mzee wa Liquid ambaye wengi hawafahamu vizuri

    Nyota ya Pierre ipo juu na atabaki kileleni. tatizo lilianzia Ikulu baada ya mama kumponda kaka na kumsifia Pieree
  7. Mpitagwa

    Rais Magufuli: Diwani Athumani si tu ni Polisi bali ni Afisa wa Usalama wa Taifa

    Mara nyingine ni frustration zangu tu
  8. Mpitagwa

    IKULU: Rais Magufuli awapongeza Taifa Stars na bondia Hassan Mwakinyo. Awapatia viwanja Dodoma

    Mkuu ubaya haupaswi kutumia kama kigezo cha kuhalalisha ubaya mwingine.
  9. Mpitagwa

    IKULU: Rais Magufuli awapongeza Taifa Stars na bondia Hassan Mwakinyo. Awapatia viwanja Dodoma

    Kama kuna kitu kinashangaza ni katiba yetu. Imempa mamlaka rais ya kutumia fedha za nchi kama za kwake binafsi. Shida ipo hapo.
  10. Mpitagwa

    Hivi kwenye kampeni ya 2020 Magufuli atawaambia nini wananchi?

    Hivi mmetulia na kumjadili Magufuli bado tu hamjamfahamu? Yaani yeye hata akipgiwa kura 50 za wateule wake na walinzi wake zinatosha kumpa urais 2020. Na atatangazwa kuwa ameshinda kwa kura 92%. Kagame si alipata 99%. Na akishinda hiyo 2020 kifuatacho ITV ni kubadili katiba ili kuondoa ukomo wa...
  11. Mpitagwa

    Rais Magufuli ampongeza Marehemu Askofu Chengula kwa kukemea ushoga na mapenzi ya jinsia moja

    Nyani Ngabu, kumbe unafikiri kinyaninyani hivi. Mimi nakuonaga muelewa, unatoaje kauli kama hii? Au umebobea katika ushoga kiasi cha kwamba unatakwimu mpaka zinazoenesha ushoga kwa sio tu dini bali dhehebu. Ni hatari sana kutoa kauli za kichochezi kama hii eti kanisa..... wewe tema mate chini...
  12. Mpitagwa

    Gharama za kuandaa Reseach proposal huwa zikoje?

    Ni kwasababu hatufahamiani. Ila katika haya mambo, kuna watu wawili wanaohusika. Mwanafunzi na Msimamizi ambaye ni mwalimu aliyeteuliwa na idara kummuongoza mwanafunzi katika kujifunza elimu hii ya utafiti. Huwa mnakuwa mmeshawafundisha wanafunzi nadharia ya utafiti sasa mnakuja kuwafundisha kwa...
  13. Mpitagwa

    Gharama za kuandaa Reseach proposal huwa zikoje?

    Upumbavu wa kuharibu watoto kwa kuwaandikia academic proposal msiulete humu. Mimi nilijua kuna mtu labada wa NGO au anataka kusaidia sehemu fulani hivyo anahitaji kufanya research ili awe na documented evidence ya kujustify tatizo lake na kupata hela ya kuboreshea nyie mpo mnapanga kumchomoa...
  14. Mpitagwa

    Mambo Huangamia cha Chinua Achebe

    Ha ha ha haaaa nimecheka kwa sauti, kwa kweli hapa wizara ya chakula hatuna cha kulalamika. Mahindi ni mengi mno bei chee. Hii mada inatuondolea steem tu hatuipendi. ha ha ha ha haaaaaaaaaaaaaaaaa
  15. Mpitagwa

    Unamiliki nini katika Umri huu?

    Mshikaki na mayai mawili
  16. Mpitagwa

    Hakika, ningekuwa Makonda ningejiuzulu

    Makonda, is in Dar to stay, na rais Magufuli atahama Dar na kumwacha Makonda. He is untouchable. Tunaposema mizizi ya kienyeji na ushirikina upo na una nguvu muwe mnatuelewa akina Kiranga Ha ha ha haa
  17. Mpitagwa

    Natamani kumpa Amber Rutty msaada wa kisheria lakini nahofia nitaonekanaje

    Mkuu, Mungu akutie nguvu umsaidie huyu binti. Hata humu JF wanaofanya mchezo ule wapo wengi. Na huwezi jua kwa kumsaidia maskini kama yule unaweza pata thawabu na zali. Kila la kheri.
  18. Mpitagwa

    Huyu atafaa kuwa Rais lakini si Membe, Lowassa, Makamba na Makanjanja wengine

    Hela zao kuleni lakini akili zenu muwe nazo. Nimependa ujumbe huu. Ila mimi napenda kutofautiana kidogo na wewe mkuu. Hoja yangu ni kuwa tunahitaji kubadili mfumo na sio mtu. kwa mfumu huu tulionao hata akija Bashiru Ally ambaye kweli sio kijana wa bei gani ila hoja gani. Kwa mfumo huu ataishia...
  19. Mpitagwa

    Bwana Heri jiandae mapema, unatafutiwa uchochoro wa kutokea

    Mtoa uzi, heshima yako mkuu. Umetisha sana kwa vyanzo. Na binafsi naona umenimaliza kwa nukuu ambazo kwa hulka ya boss inaonekana ni kweli anaweza kusema hivyo maana yule kikongo wanamwita, natuzambe binu tee.
  20. Mpitagwa

    Nani anafaa kumrithi Dkt. Bashiru Ally kwenye Ukatibu Mkuu wa CCM?

    Dr. Bashiru Ally, atakuwepo mpaka 2026, muda ambao rais ajae ndoo atapendekeza jina la katibu mkuu mpya. Ya Mungu mengi. Nape Nauye anaweza kushika wazifa huo.
Back
Top Bottom