Search results

  1. M

    Lema: Nitawahamisha CCM hadi wajilaumu kunipa Likizo Bungeni

    inawezekana Lema ni kilaza kielimu lakini kwa hakika wewe ni KILAZA wa FIKRA, pia nina wasiwasi na utimamu wa akili yako kwani ungekuwa mzima usingezubuthu kutoa kauli ya namna hiyo. bila shaka wewe ni wa Magamba wanaotafuna trilioni 13 kwa wizara mbili, zaidi ya bajeti ya nchi then mnashangilia...
  2. M

    CHADEMA will never CHANGE TANZANIA

    thinking that there will be any political party to change situation in any place that is 'NARROW MIND'. always a good 'SERA' and efforts towards implementation of the same is the way towards development. i will provide you a simple example, Eastern Arumeru is surrounded with various water...
  3. M

    Mtei, Jussa watu hatari zaidi kupata kutokea Tanzania

    mi sikushangai, umeona unafiki, propaganda, ubabe, ubinafsi ni BORA kuliko ukweli. kwa taarifa yako waasisi wa udini ndani ya Tanzania hii ni CCM baada ya kuona anguko 2010.
  4. M

    Maoni yangu dhidi ya "Baadhi ya wananchi wahuni" wa Arusha kujaribu kuzuia wanahabari wa TBC

    kwa mara ya kwanza najitokeza hadharani kuchangia katika ukurasa huu wa jamii forum. ukweli ni kwamba naumia mno ninaposikia TBC inaendeshwa kwa kodi za wananchi kama television ya taifa. sijawahi kuona chombo cha habari kilichojaa unafiki kama TBC. achilia mbali kuwa wachakachuaji wa habari...
  5. M

    Maoni yangu dhidi ya "Baadhi ya wananchi wahuni" wa Arusha kujaribu kuzuia wanahabari wa TBC

    kwa mara ya kwanza najitokeza hadharani kuchangia katika ukurasa huu wa jamii forum. ukweli ni kwamba naumia mno ninaposikia TBC inaendeshwa kwa kodi za wq nanchi kama television ya taifa. sijawahi kuona chombo cha habari kilichojaa unafiki kama TBC. achilia mbali kuwa wachakachuaji wa habari...
  6. M

    Maoni yangu dhidi ya "Baadhi ya wananchi wahuni" wa Arusha kujaribu kuzuia wanahabari wa TBC

    kwa mara ya kwanza najitokeza hadharani kuchangia katika ukurasa huu wa jamii forum. ukweli ni kwamba naumia mno ninaposikia TBC inaendeshwa kwa kodi za wqananchi kama television ya taifa. sijawahi kuona chombo cha habari kilichojaa unafiki kama TBC. achilia mbali kuwa wachakachuaji wa habari...
  7. M

    Hoja ya mh. January makamba kuhusu kodi za pango- maoni na mtazamo wangu

    binafsi nampongeza Mh. January Makamba kama kijana anayeonyesha taswira ya kweli ya mabadiliko hasa yatakayomnufaisha mlalahoi wa taifa hili. ILA NDUGU YANGU MAKAMBA PAMOJA NA DHAMIRA ZAKO SAFI NINAZOZIONA KUTOKA KWAKO MARA KWA MARA LAKINI HAUKO SEHEMU SAHIHI, NJOO CHADEMA KAKA TUJENGE NCHI.
Back
Top Bottom