Search results

  1. M

    Uko wapi uhuru wa mahakama kwenye rasimu ya katiba mpya????

    Ukisoma hii article 151 (1) "Jaji Mkuu atateuliwa na Rais kutoka miongoni mwamajina ya watu watatu yaliyopendekezwa na Tume ya Utumishi wa Mahakama na kabla ya kuapishwa jina lake litawasilishwa Bungeni kwa ajili ya kuthibitishwa na Bunge". unaweza ukazani mahakama imewekwa huru kutoka kwenye...
  2. M

    Sumu ya sera ya majimbo ya Dr. Slaa na Mbowe kuwaua wabunge wa CHADEMA

    watanzania hatuwez kuwa wapuuz kiasi hiki hayo n maon yako na familia yako sio watanzania wote
  3. M

    Tusitumie tena "Division Zero" kwenye matokeo ya Elimu ya Sekondari...

    wako sahihi kabisa wanafunzi wakipimwa jinsi unavyotaka pendekeza hatutakuwa na wasomi.....walimu wata chakachua wanafunzi watapewa marksi nyingi za bure ili shule zionekane zinafanya vizuri.....tujiulize swali kama mtihani wa taifa watu wana nunua na kuwapa wanafunzi itakuwaje tukisema 40% ya...
  4. M

    Tusitumie tena "Division Zero" kwenye matokeo ya Elimu ya Sekondari...

    naamin brain ya binadamu hufanya kazi zaidi inapo hisi "sense of fear" kupaka rangi division zero ni kutengeneza mazigira ya wanafunzi kutojituma akijua mwishoni hakuna aibu.
  5. M

    Tusitumie tena "Division Zero" kwenye matokeo ya Elimu ya Sekondari...

    nakataa 100% mtanzania mwenzangu kuondoa division zero ni sawa na kupulizia pafyumu mwili wenye kunuka jasho harufu itabadilika ila itakuwa kali zaidi yenye kuleta mafua. maoni yangu ni wahusika wote wazazi, wanafunzi, seikali na jamii kwa ujumla tutimize wajibu wetu
  6. M

    GESI YA MTWARA: Huu ndio unafiki wa wasomi na wanasiasa.

    watu wasinge hoji mambo haya kama serikali ingefanya mgawanyo sawa wa maendeleo kwa mikoa yote tumechoka kila kitu dsm
  7. M

    Serikali ya CCM au watu wa Mtwara yupi ni mhaini?

    wana JF nimejaribu kujiuliza mambo yafuatayo sijapata jibu sahihi naomba mawazo yenu. 1)serikali imeshusha standard ya ufaulu wanafunzi darasa la saba mwaka huu na kudanganya uma ufaulu umeongezeka, je huu ni uzalendo? na si uhaini? 2)serikali ili binafsisha reli ya kati kwa mwekezaji asiye na...
  8. M

    CHADEMA,naomba niwaulize?

    hakikisha unawafungua macho na jirani zako
  9. M

    Deo Filikunjombe: Tanzania sio mali ya CCM

    Candid Scope viongoz waliopatikana kwa hak hujiamin cku zote ila waliopita kimafia huishia kujipendekeza pendekeza....kaza buti fili
  10. M

    Ujumbe kwa Chadema

    siamin kama elimu kubwa inamfanya mtu kuwa kiongozi mzuri........................
  11. M

    Dr. Jakaya M. Kikwete ni the best ever!!

    ajibu nini wakati hoja zinamhusu kinoma.....ana uchuna ili asiamshe hasira zaidi
  12. M

    Kenya: Vyama vya Upinzani vyatangaza kuungana, umati Mkubwa usiopimika

    tatizo langu ni wewe kufananisha dini na siasa "imani na falsafa" ni vitu tofauti sana............inaweza kabisa falsafa kufanana mfano "tanu" na "asp"
  13. M

    Ujumbe kwa Chadema

    tatizo au adui yetu ni nani mkuu tuweke waz
  14. M

    Kenya: Vyama vya Upinzani vyatangaza kuungana, umati Mkubwa usiopimika

    tofautisha imani za dini na siasa....kama sera na mitazamo ya chama ina malengo yanayofanana muungano unawezekana
  15. M

    Pres.Obama(Miaka 4,safari-32),Pres.JK(Miaka 7,safari 392),Hayati Nyerere(Miaka 25,safari 68)

    tatizo watz tulichagua kiongozi mpigaji domo sio mtendaji kazi anaenda kushangaa magorofa tu huyo mfujaji wa kodi zetu
  16. M

    Mnyika amuunga mkono Mwakyembe usafiri wa Treni

    mambo yanayo onekana wazi wapinge ili iwe nn.....mambo ya msingi ya kupinga yapo mengi kama porojo za"maisha bora kwa kila mtanzania".."uchumi unakuwa kwa kasi wakati maisha ya watanzania tulio wengi n magumu sijui uchumi unakuwa mifukoni mwa mafisadi"
  17. M

    Ujumbe kwa Chadema

    ni challenge kwa viongoz kuja na mbinu mbadala kueliminate hiki kirusi
Back
Top Bottom