Search results

  1. C

    Minerva Oil & Gas Company ni genuine au matapeli

    Nilikuta tangazo website ya zoomtanzania nimeapply,jamaa wamenitumia maswali yao nimejibu na jana wamenitumia mkataba. Je kuna ukweli wowote au ni matapeli tu naomba msaada tafadhali.
  2. C

    Nimepata IV.32 masomo ya sayansi

    km umepass kwa alama gani hayo masomo ya sayansi na je umefikisha masomo 4?
  3. C

    BSc. in Electronics

    Soko lake limechukuliwa na mtu mwenye bsc in electrical engineering anafanya anafanya kazi zote mf. elecronics,computer,It.
  4. C

    Verossa vs Brevis

    Brevis imesimama
  5. C

    Kumbe uchumi wote wa dunia umeshikwa na Israel?

    Raia wa Israel ni genius,mfano Mark(mmiliki wa facebook)
  6. C

    Ukizingatia Hili, Huenda Tatizo Lako la Fungus Sugu Sehemu za Siri na Mba wa ngozi Likaisha Haraka!

    Unatumia kwa muda wa siku ngapi kupaka sehemu za siri hasa kwenye mapaja?
  7. C

    Msama Group Company ni janga kabisa

    Msama ni mchumia tumbo km wengine tu
  8. C

    Mbeya na mambo yao

    Wanawake wengi ni wanafanyabiashara ya kuuza ndizi mbivu na parachichi ktk vituo vya mabasi hasa uyole huku wamebeba watoto wadogo mgongoni
  9. C

    Mbeya na mambo yao

    Mbeya ukiwa mtu wa starehe ni rahisi kujulikana hata kama umefika mkoa huu ndani ya wiki kutokana kuwa na sehemu moja ya kula bata na zote ziko jirani.
  10. C

    Utaratibu wa kuuza ama kununua gari kwa mtu

    Gharama ya kubadilisha ni kiasi gani wadau?
  11. C

    Dawa za kulevya zalichafua Taifa

    Janga la kitaifa...!
  12. C

    Magari ya abiria Mbeya yagoma

    Kweli hata hapa maeneo ya uyole kuna askari wa FFU wamemwagwa baada ya madereva wa coaster kutaka kuzua abiria wasipande ktk magari ya mizigo(fuso)
  13. C

    Kupinga viroba: Serikali itumie busara

    Dah pande za green city cjui itakuwa aje ndo pombe yetu na baridi yetu tushazoea!
Back
Top Bottom