Search results

  1. I

    Signature kwenye cheque ya kutoa hela CHADEMA ni ya nani? Na ipo kwa miaka mingapi?

    Fedha ndiyo mambo yote,subiri 2015 utajua utaratibu wote,waziri wa fedha ppls,BOT ppls na serikali kwa ujumla,jibu utapata after election
  2. I

    Bodi ya mkonge Tanzania

    Je, serikali imewachunguza watawala wake kwa kina? Ufisadi ndio shina lake jamani tuwachambue?
  3. I

    Ubinafsi!!!

    Ubinafsi ndio unawafanya viongozi wa nchi kuiba kodi zetu,ukiangalia kwa makini viongozi wengi wamejenga nyumba nzuri wakati jirani yake analalia mbavu za mbwa,Je wanashindwa kuwasaidia kuwajengea nyumba bora walau vyumba viwili?
  4. I

    Aggrey Mwanri

    Mwandri ni msanii kasoma alama za nyakati,kaota kifo cha ccm,sasa anataka kujiunga na CDM,tukumbuke huyo jamaa kasoma chuo cha siasa ngambo na amekuwa mwalimu wa siasa chuo cha Jk Nyerere, mwizi huyo,tapeli mkubwa
  5. I

    Tupia maneno picha hii

    Wajinga sana,wanatakiwa wapate kichapo
  6. I

    Naitaji graphic designer(on assignment bases job)

    Mtafute huyu designer 0762316330
  7. I

    Samwel Sitta: Siyoi Sumari hakuwa Chaguo la wanaCCM

    Wacha wajinga waendelee kujichanganya 2015 tunawachinjia baharini kama osama bin laden
  8. I

    Ndugu zangu,

    Jkt,kwa nini lisipelekwe kwenye shule zetu za kata kuokoa elimu,kwa sasa jeshi lina wasomi wengi na wakutosha kufundisha nchi kwa nn wakae kambini tu?
Back
Top Bottom