Search results

  1. Kitia

    Naomba msaada kuunganisha TP Link router na Vodacom 4G Modem

    Nimefanya hivyo lakini hakuna kinachotokea. Taa ya usb kwenye router haiwaki kuonyesha kuwa modem haijatambuliwa!
  2. Kitia

    Naomba msaada kuunganisha TP Link router na Vodacom 4G Modem

    Naomba msaada wa kuunganisha router ya TP Link na modem ya 4G ya Vodacom. Nikiunganisha modem moja kwa moja kwenye laptop napata internet, ila nikiunganisha na router hakuna internet. Natanguliza shukrani.
  3. Kitia

    Vodacom Tanzania: Support thread (Maswali, malalamiko na Ushauri)

    Naomba msaada wa kuunganisha router ya TP Link na modem ya 4G ya Vodacom.
  4. Kitia

    Kufungiwa CCTV camera

    Digoo DG-M1Q 960P 2.8mm Wireless Mini WIFI Night Vision Smart Home Security IP Camera Onvif Monitor Kama unaweza kuipata hii ni nzuri sana na bei yake ni rahisi. Mimi naitumia.
  5. Kitia

    Cement ya pakstani

    Mkuu hii thread nzuri sana.
  6. Kitia

    Zitto, Ulimwengu, Shivji na Jaji Mkuu wa Kenya ndani ya Nkrumah Hall - ITV Live

    Ndiyo historia, kwa vizazi vijavyo ili vielewew uhalisia wa hali iliyokuwepo. Hata mimi nimejifunza leo kitu ambacho nilikuwa sikijui.
  7. Kitia

    Zitto, Ulimwengu, Shivji na Jaji Mkuu wa Kenya ndani ya Nkrumah Hall - ITV Live

    Ameelezea vizuri hasa pale kwenye miiko ya viongozi pamoja na wanachama wote kwa ujumla. Ingefaa aandike kitabu.
  8. Kitia

    16 Channel DVR

    Uliweza kuangalia bei za hizo camera na specs zake?
  9. Kitia

    Wanted: KIDDLE PAPERWHITE

    Hii ni nyongeza tu. kwa watumiaji wa kindle, unaweza kuweka vitabu vyko humo kwa kutumia hii application ya Calibre: calibre - Download for Windows
  10. Kitia

    16 Channel DVR

    Ha wanauza vifaa vyote vya cctv?
  11. Kitia

    16 Channel DVR

    Mkuu unaweza kunipa specs za system yako? Unatumia camera zenye specs gani? Je dvr yako ina hard disk ukubwa gani? Ni nini changamoto unazozipata? Nauliza hayo kwa sababu na mimi nina mpango wa kuweka cctv kwenye makazi yabgu.
  12. Kitia

    Taa ya Solar Wakawaka

    Kwa yule ambaye anahitaji hizi taa na anaishi Dar es salaam anitumie PM.
  13. Kitia

    Taa ya Solar Wakawaka

    Kwa sasa hivi tupo katika harakati za kufungua sehemu ya mauzo kwa Dar es salaam kwanza. Baadae tutafungua sehemu za mauzo kwenye miji mingine. Asante kwa kuuliza.
  14. Kitia

    Taa ya Solar Wakawaka

    Tofauti ya kwanza ni ubora wake. kama ulinisoma vizuri nimeandika kwamba hii taa inawaka kwa SIKU 5 ndio inazimika. Nimeifanyia majaribia mimi mwenyewe nikalinganisha na zingine zinazowaka kwa MASAA MATATU au MANNE tu. Kuwaka kwa muda mrefu wa taa hii ni ubunifu mpya ulio na haki miliki kutoka...
  15. Kitia

    Waziri alidanganya Bunge, aingia 18 za Zitto!

    Mkuu Maundumula nakubaliana na wewe kabisa. tanzania ni nchi ambayo ina rasilimali nyingi mno lakini hatuzitumii vizuri. Tusipoangalia tutageuka kuwa kama DR Congo wakati fulani walikosa hata mtaji wa kuchimba rasilimali zilizozagaa nchini humo. Tuwe wazalendo, tufikirie watoto wetu na vizazi...
  16. Kitia

    Taa ya Solar Wakawaka

    Nitumie PM Mkuu. Bei ni Tshs. 30,000.
  17. Kitia

    Mulugo: Wizara kuwafanyia wanafunzi asilimia kazaa ya mtihani ili kuongenza ufahulu

    Hii ni kama kuchapisha pesa nyingi zaidi ili uchumi weyu uongezeke!
Back
Top Bottom