Search results

  1. N

    Nini Faida ya Kuwa na Serikali ya Tanganyika?

    Nakubaliana na @chakunyuma, ili tupate maendeleo endelevu, tunahitaji kujenga taasisi imara. Si watu imara. Maana tukichagua hilo la pili, basi hatuwezi kuwa na hakika na kesho.
  2. N

    Katika katiba mpya wabunge wasiwe mawaziri

    naunga mkono hoja, lakini sidhani kama ni lazima kumnyima rais mamlaka ya kuteua hasa kwa baadhi ya nafasi muhimu. Lkn jambo la msingi ni kupunguza mamlaka yake ktk uteuzi. kwamba kila mteule wake, ahojiwe, ajadiliwe na mwishowe apigiwe kura na bunge. Hiyo itampa discipline Rais, hataweza kuteua...
Back
Top Bottom