Search results

  1. A

    Naishi na virusi vya ukimwi natafuta kama mimi

    unaonaje ukaenda kucheck afya yako mapema, usingoje mpaka uumwe.
  2. A

    Naishi na virusi vya ukimwi natafuta kama mimi

    kuishi na virusi vya ukimwi si tatizo ukishajifunza, mwenye cancer hata malaria yuko kwenye risk kupita mimi.
  3. A

    Naishi na virusi vya ukimwi natafuta kama mimi

    na mie nataka ndoa, ndio maana nimekuja jamvini. inshallah wote wana JF lazima niwaalike kama atapatikana hapa.
  4. A

    Naishi na virusi vya ukimwi natafuta kama mimi

    kwakuongezea, naomba mtu ambaye yuko very serious. sio tuwasiliane for sometimes halafu utake tuonane only kutaka kujua nafananaje. muonekano wangu, huwezi kunijua kabisa. nina muonekano mzuri ambao unaweza kudhani natania kua ni muathirika, lakini ukweli ndio huo. naomba maswali mengi yatumwe...
  5. A

    Naishi na virusi vya ukimwi natafuta kama mimi

    habari zenu wana jamvi la "great thinkers". mimi ni mgeni kabisa katika jamvi hili na ni mara yangu ya kwanza kuweka post yangu hapa, japo ni msomaji sana wa JF lakini kama mgeni. kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu, mimi ni mama 40+ naishi na virusi ya ukimwi. ningependa kupata...
Back
Top Bottom