Search results

  1. kisiringyo

    BBC Swahili Tumewachoka!

    kwani BBC wamesema uongo! yaani serikali ya ccm imetutengenezea watu wa hovyo sana, watu ambao hawatumii akili kuwaza, watu ambao hawana Hoja zaidi ni vihoja tu, maana hata hiki ulichozungumza ni kihoja, na unashindwa kuisema TBC yenu ambayo ni televisheni ya taifa lakini BAGUZI kinakua kama...
  2. kisiringyo

    Sitasoma tena gazeti la Mawio

    We subiri upepo uvume tuone nyeti zenu:glasses-nerdy:
  3. kisiringyo

    Nchimbi: Sijahama CCM na sina mpango wa kuhama CCM

    ninashangaa sana watu wanahoji kwanini nchimbi hafuatani na lowassa, mnajua kabisa nchimbi yuko kamati kuu ya ccm, leo akiondoka mapema hivi tutapata wapi taarifa za kamati zinazo kaa kumjadili eddo, LOWASSA NI TAASISI KUBWA.. inabidi uwe genius sana kujua haya mambo.
  4. kisiringyo

    Jicho la Tatu: Naona CHADEMA mmeanza rafu mapema, mkichezewa msilalamike

    Mbona unapanic braza tulia ikuingie vizur, najua ni chungu kumeza ila jitahidi hivo hivo maana ndo dawa sasa,,, hahahahaaaa
  5. kisiringyo

    Werema kuomba Msamaha pekee hakutoshi, aachie ngazi!

    mi mwenyewe sijakuelewa umeongea nn, WAZANZIBAR NA WATANZANIA???? hii inadhihirisha ni jinsi gani tanganyika imevaa koti la muungano
  6. kisiringyo

    ACT-Tanzania vipi tena?

    Drancuculus medinensis
  7. kisiringyo

    Hivi kwanini CHADEMA mpo kimya kuhusu kuporomoka kwa elimu nchini? nyie elimu haina umuhimu?

    Acha akili za ki bangi bangi we chiz, kwani hujui kunawatu wanaitwa Moshi??!,, afu nahisi ww ni ifweero umeingia na ID nyingine... sijui mnalipwa sh, ngapi!!
  8. kisiringyo

    M4C-OPD: Picha kutoka Chimala, Mbarali, Makambako na Njombe - Jan 26, 2014

    Hapa ifweero, ritz, lizaboni, sixgate, rutashobolwa, Ze marcopolo HUTAWAONA,, Uzi unawaka moto!!!
  9. kisiringyo

    Mama yake Mtela Mwampamba ni mwanachama wa CHADEMA

    Akili ya mtela mwampamba haina tofauti kabisa na ya chris lukosi kuna laana fulani hivi zinawazunguka
  10. kisiringyo

    Kuhusu ACT - Tanzania

    Umemjibu inavyotakiwa, ungechelewa kidogo ningemjibu mimi,, kijana anatawaliwa sana na hisia kuliko uhalisia.
  11. kisiringyo

    Msajili: Chama chenye vurugu kama chadema kitazaa serikali yenye vurugu

    Vurugu mnazianzisha na kuziasisi nyie wenyewe kwa kutumia kodi za watoka jasho, halafu mnasema CHADEMA wanavuruga,, CCM ni janga la Taifa.
  12. kisiringyo

    CHADEMA kugeuza Changamoto kuwa Fursa: Dr. Kitila aongezewe adhabu!

    We ni genius mkuu, kwa mwenye akili atafaham point ulizo zungumza, ila kwa mtu anaeongozwa na hisia atakurupuka na matusi hapa.
  13. kisiringyo

    Hivi ni kweli serikali ya CCM haiwajali wananchi wake??

    pole rafik yangu watu kama nyie Kisesa hawawacheleweshi
  14. kisiringyo

    Wadau Idadi ya aliowaua Clement Mabina ni 4

    Hebu jipange vizur utupatie report nzur, pengine unachakuzungumza ila hapa umekurupuka mkuu.
  15. kisiringyo

    Mwigulu amlipua Mbowe bungeni, ni kuhusu kutumia vibaya madaraka yake na hawara

    Kwahio ulitaka mbowe aje ajivinjali nawewe au? kama reference zako zinatoka kwa mwigulu bac mmeishiwa hoja, kakojoe ulale!
  16. kisiringyo

    Aliyekuwa Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Mwanza auwawa na wananchi wenye hasira kali kwa kupigwa mawe

    Katika harakati za kujiokoa, alifyatua risasi na kuua mtoto mdogo.
  17. kisiringyo

    Aliyekuwa Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Mwanza auwawa na wananchi wenye hasira kali kwa kupigwa mawe

    Alie kua Mwenyekiti wa mkoa wa Mwanza Hh. Clement Mabina na Diwani wa kata ya kisesa ameuwawa na wananchi wenye hasira kali kwa kupigwa na mawe kwa sababu ya ugomvi wa ardhi. Mheshimiwa huyo ameuawa kutokana na kuvamia hilo eneo na kuanza kupanda miti na kujenga ili hali kesi kuhusu eneo hilo...
Back
Top Bottom