Unapepo subiani bin makata, imethibitika wazi wazi kwako FaizaFoxy, kamwe Kanisa haliwezi kuwa wachochezi wakubwa wa umwagaji damu duniani. FUTA HARAKA KAULI YAKO.
Kanisa siku zote linaeneza Neno la Mungu, moja wapo linasema mpende jirani yako, wakristo watawapenda ninyi siku zote na wala...
Mhe Zitto kweli hakuwa sahihi pale alipokubaliana na wezi kwa kuikubali formulation ya Chenge, ambayo msingi wake mawaziri hao, mwanasheria wa serikali na katibu wa nishati na madini kwamba mamlaka ya rais iamue hatima yao.
Zitto kabla ya kulidhiria hilo la chenge tukumbuke aliwashika kooni hao...
Kutoka Usalama wa Taifa
Taifa hodari, la kishujaa na Lililoweka mbali Uoga.
Natoa pole sana kwa Dr. Steven Ulimboka pamoja na familia yake, Mungu atamsaidia, tupo pamoja tukimuombea.
Hakika nimeamini upande wa pili wa Jk na serikali yake anayoiita sikivu si kweli, bali ni serikali ya...
Kutoka Usalama wa Taifa,
Taifa hodari, la kishujaa na Lililoweka mbali Uoga.
Bungeni juzi mchana muheshimiwa Mnyika alisema Rais jk ni dhaifu, kwa kitendo hicho akaonekana ametukana na kuchukuliwa hatua ya kutolewa Bungeni. Je ametukana? Je neno Dhaifu ni matusi? Jibu: Si kweli neno dhaifu sio...
Kutoka Usalama wa Taifa,
Taifa hodari, la kishujaa na Lililoweka mbali Uoga.
Bungeni Leo mchana muheshimiwa Mnyika amesema Rais jk ni dhaifu, kwa kitendo hicho akaonekana ametukana na kuchukuliwa hatua ya kutolewa Bungeni. Je ametukana? Je neno Dhaifu ni matusi? Jibu: Si kweli neno dhaifu...
kutokana na taarifa za kamati mbalimbali zilizowasilishwa bungeni hivi karibuni kuonesha uozo mkubwa wa ufisadi wa mabilioni ya fedha katika wizara nyingi​ hazina sifa ya kuandaa bajeti mwaka huu.Fedha nyingi za walipa kodi zilizokuwa kwenye bajeti mwaka jana zimeliwa na wajanja wachache...
Hakuna maana sensa ya dini,huku ni kufilisika kimawazo,kimtazamo n.k sensa hii wanayodai itazidi kuwaumiza roho kwasabau kuna wimbi kubwa zaidi la watu wanatoka uislam na kuingia ukristo kwasababu hiyo idadi ya wakristo ni kubwa,watu wamechoka kutumikishwa na kuteswa na majini na hivyo...
Hakuna maana sensa ya dini,huku ni kufilisika kimawazo,kimtazamo n.k sensa hii wanayodai itazidi kuwaumiza roho kwasabau kuna wimbi kubwa zaidi la watu wanatoka uislam na kuingia ukristo kwasababu hiyo idadi ya wakristo ni kubwa,watu wamechoka kutumikishwa na kuteswa na majini na hivyo...
Nasikitishwa sana kuona kinachotokea huko zanzibar kwa sasa,ndugu zetu wanakimbia makazi yao na kuja bara kuhofia maisha yao.
Chanzo cha vurugu hizi yanatokana na mambo mawili:
1. mswahada wa katiba mpya unakataza uhuru wa watu kuzungumza juu ya muungano.
Hapa wanzanzibari wameona hawatendewi...
Wezi kichizi jamaa wa india,tuwe macho.
La msingi maneno kama free internet na unlimited internet yasimamiwe na TCRA waakikishe yanatumika ipasavyo sio wananchi wanadanganywa,lugha za kitapele ndani ya ardhi yetu, free wakati unalipia na ataukilipia upati internet saa hiyo hiyo hadi saa nne...
kutokana na taarifa za kamati mbalimbali zilizowasilishwa bungeni hivi karibuni kuonesha uozo mkubwa wa ufisadi wa mabilioni ya fedha katika wizara nyingi​ hazina sifa ya kuandaa bajeti mwaka huu.Fedha nyingi za walipa kodi zilizokuwa kwenye bajeti mwaka jana zimeliwa na wajanja wachache...
aha aha aha! uenda kuna ukweli hapa mamvi amerudi kwenye uwanja wa vita.jamaa alirusha kombora alikuleta madhara makubwa kwa mamvi, sasa mamvi amerudi kulipiza,jamaa salama yake kukimbia nchi.Hiyo akili kwake lakini inatuumiza walipa kodi.tunaweza mruhusu ilo kwanza avue urais wetu kisha akimbie...
kiukweli kutoka ndani moyoni ni ngumu kuongea mazuri ambayo ni sawa na asilimia 5 out of 100.Tanzania imejaliwa rasimali nyingi ambazo zimeshindwa kuitoa nchi kwenye umasikini,tunaitwa masikini wa kujitakia.Tatizo ni rais ambaye pamoja katiba kumpa madaraka makubwa ameshindwa kusimamia...
Tatizo huyooo rais kaingia madarakani sio kwa chaguo la wananchi walio wengi, kwasababu hiyo hakuna zuri atakaloweza fanya,yaani Mungu anamlipa ili kuitengeneza njia ya yule atakayekuwa chaguo la wananchi 2015,sisi hatumjui ila Mungu anamjua.
Kwa hiyo blaming hazitaisha, watu wana blame...
Kama kuongea jamani tumesema sana juu ya safari za rais huyu,ni kweli safari nyingi ni wazi ni kukwepa majukumu yake ya kushughulikia kero za watanzani, kwa kuogopa kugombana nao waliomweka madarakani.Safari nyingi zisizo na msingi ni upotevu mkubwa wa kodi za watanzania,inafika mahali ndege...
Nakubaliana na wanaosema jamaa ni rais wa nchi za nje na sio wa Tanzania.gharama za safari zake tangu aingie manadarakani zingeweza tatua matatizo ya vijijini kwa mikoa mingi,lakini jamaa hakuu bola ale bata eti awamu yake ya mwisho.
Mapinduzi hayako mbali,imetosha kodi za wanyonge kuchezewa...
wewe acha uchizi, hatuna rais kwa sasa,huyo jk ni rais kivuli,wapo watu wanamcontrol,watamwambia sasa sema,au sasa kaa kimya.atakaa kimya mahali sipo,wagonjwa wanakufa rais kimya na kuchelewa kutoa maamuzi haraka pamoja na kuwa na madaraka mengi.
Miaka yake iliyobaki ni maumivu kwa taifa...
Kaiba fedha zetu za EPA, huyu ni rafiki yake JK,na serikali ndio inayoongozwa na JK,kwa msingi huo ataondoka salama salimini,huku akiacha majeraha kwenye bank zetu,maana anafedha nyingi sana.Naamini wananchi tunaweza tukafanya jambo litakalo okoa fedha zetu hizi za EPA.WANANCHI TUINGILIE TUOKOE...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.