Search results

  1. W

    HESLB Form Problem

    Wadau mi nilisha jaza form yangu ikaniandikia ready for submission.sasa jana naenda kuprint inaniandikia form incomplete kufungua inaoneasha guarantor form ipo incomplete but nkiicheki yote nimejaza hata ni ki edit upya iyo guarantor haibadiliki so jamani wadau nisaidieni siku zinaenda inazingua...
  2. W

    HESLB Haya Ni Mateso Kwetu Tuliopo Vijijini!

    jamaa wanazingia sana.mi nlishamaliza ilibaki ku print tuu.leo naenda ina andika incomplete yani guarantor nkifungua iko poa,niki edit problem bado.jamaa hawako makini bado.wanazingua sana tuu
  3. W

    Heslb Heslb Heslb

    hii problem aisee imekuwa too much
  4. W

    Heslb Heslb Heslb

    wadau na wataalam wa kufikiri nawasalimuni. naomba kuuliza mbona nkifungua OLAS inasumbua sana inasema cant connect to data base.sasa registration na ku fill form itafanyikaje
  5. W

    Yanayojiri Bungeni Dodoma: Alhamis 22 Mei 2014, Kikao cha 15 Mkutano wa 15, Bunge la Bajeti

    Wakati wa maswali na majibu Makamba kumwambia komba itategemea kambi yake kushinda ubunge na mustakabadh wake. mi sijaelewa mana yake
  6. W

    Machame kwetu

    Najivunia tanzania yangu. Zaidi najivunia kuzaliwa kulimanjaro but zaidi najivunia kuwa machame wanajanvi je una like ulipozaliwa au asili yako?
  7. W

    Black Jews of Tanzania

    wewe asili yako wapi? sio una crash tuu.huo ni ukweli. kwa mfano unapoambiwa wangoni asili yao ni Afrika kusini ni kwa sababu umesoma katika historia na uliandikwa.kuna historia nyingine hazijaandikwa katika vitabu vya shuleni.
  8. W

    Black Jews of Tanzania

    Nchini Tanzania kabila la wachaga kwa asilimia kubwa lina uhusiano na asili ya uyahudi. kuna koo kubwa kama Nkya.,Mushi,kileo,Lema,Munisi,Munishi,kirenga., ambao ancestor wake au baba yao Mweri alihamia Kando kando ya mlima kilimanjaro maeneo ya kibosho ambapo baadae alizaa watoto na mtoto...
  9. W

    Ukitaka kuwa tajiri, usiende shuleni

    mkuu umeanza na not real.lakini mawazo yako yanaendana na great thinkers like me kuwa mfumo wa elimu ni mbovu
  10. W

    Ukitaka kuwa tajiri, usiende shuleni

    mkuu nisingeweka iyo heading ningesoma mimi na mke wangu tuu.hakuna mtu angepata maudhui.na kujadili hii mada mi ni mdau wa elimu ila tumekosa elimu ya finance
  11. W

    Hii ndio njia moja ya uhakika ya kupata wazo bora la biashara

    elimu safi sana hii ambayo shuleni hsipatikani
  12. W

    Natafuta kiwanja nje ya jiji la Dar

    chanika huwa vipo vya serikali inauza mil moja 30 25
  13. W

    Ukitaka kuwa tajiri, usiende shuleni

    mkuu ni kweli we upo makini una fikra pevu.
  14. W

    Ukitaka kuwa tajiri, usiende shuleni

    awake ur slpn genius. hw abt napoleon hill.hw abt richest man in the babylon
  15. W

    Ukitaka kuwa tajiri, usiende shuleni

    our education system needs reformation first
  16. W

    Ukitaka kuwa tajiri, usiende shuleni

    hili ni suala mtambuka.labda niseme hivi navyosema masikini simaanishi kuwa ni hana kitu kabisa tena wanalipwa zaidi ya 4miiion.lakini wana financial security tuu .lakini hawana fi ancial freedom.mkuu ipo tofauti kubwa sana kati ya financial security na financial freedom. Kwa ufupi sana...
Back
Top Bottom