Search results

  1. O

    Mwenye taarifa ya scholarship za phd

    Ninaombwa kujuzwa kwa mtu yeyote mwenye taarifa kuhusu scholarship na sponsors wa phd.Ninaomba kujuzwa mitandao yao.
  2. O

    Mabadiliko ya Katiba: Kikwete aongezewe muda wa miaka mitano

    Kila mtu ni shahidi jinsi gani nchi yetu ya Jamhuhuri ya Muungano wa Tanzania ilivyopiga hatua kubwa ya maendeleo hasa katika uongozi wa mh.Rais JK.Kwa muda mfupi nchi yetu imefanya vizuri katika nyanja zote,uchumi wetu umeimarika kwa kasi ya ajabu.Sekta za elimu,afya,kilimo,utawala...
  3. O

    Jiunge chuo bora cha utalii na lugha za kimataifa

    Chuo kipo Dar es Salaam. Kinatoa kozi zifuatazo: 1.0. CERTIFICATE COURSE IN HOTEL MANAGEMENT (miezi 9). COURSES : 1.1. Accomodation Operation. 1.2 Front Office Operation. 1.3. Food and Beverage Services. 1.4 Introduction to Tourism. Ada ni Tsh. 800,000/= 2.0 HOUSE KEEPING MANAGEMENT (mwezi...
  4. O

    Ogopeni kusoma kombi dhaifu

    Nina mashaka na uwezo wa kufiri wa huyu dogo...hivi wewe na hao wasomo walioweka hizo comb unazoziita dhaifu, faculty pamoja na vyuo nani ana akili ? Udhaifu wa maisha hauhusiani mtu amesoma comb gani. Kuna watu hawajasoma comb yeyote lakini maisha yao mazuri. Na hata ukisoma comb unazoziita...
  5. O

    Wabunge mliohitimu JKT muwe mstari wa mbele katika ajali ya jengo Dar es Salaam

    Nilitarajia wabunge vijana wote mliohitimu mafunzo ya hiari ya JKT mngeonesha jinsi gani mafunzo ya JKT yamewabadilisha kwa kutoa huduma za uokoaji kwa waathirika wa ajali ya kuporomoka kwa jengo leo asubuhi jijini Dar es Salaam. Nilitarajia wabunge kama Idd Azan, Zitto Kabwe, Halima Mdee. Idd...
  6. O

    Kamati ya Bunge Huduma za Jamii yaonesha upofu shule ya sekondari Dunda Bagamoyo

    Leo 19/03/2013 Kamati ya Bunge ya Huduma za Jamii imefanya ziara ya kutembelea shule mbalimbali Wilaya ya Bagamoyo na kukagua miradi mbalimbali ya TASAF kama vile ujenzi wa madarasa,maabara, nyumba za walimu pamoja na hosteli. Katika ziara yake hiyo imetembelea shule ya sekondari Dunda na...
  7. O

    Kamati ya bunge ya huduma za jamii yaonesha upofu shule ya sekondari dunda bagamoyo

    Leo 19/03/2013 Kamati ya Bunge ya Huduma za Jamii imefanya ziara ya kutembelea shule mbalimbali Wilaya ya Bagamoyo na kukagua miradi mbalimbali ya TASAF kama vile ujenzi wa madarasa,maabara, nyumba za walimu pamoja na hosteli. Katika ziara yake hiyo imetembelea shule ya sekondari Dunda na...
  8. O

    URGENT: Je, unaweza kufanya translation kutoka Kiingereza kwenda Kifaransa?

    Nenda Kijitonyama ulizia ofisi za Chibite International Languages Center, wanafanya translation. Ofisi zao zipo karibu na jengo la Green acres.
  9. O

    malimbikizo ya mshahara h/mashauri ya bagamoyo

    Kinene usiwe na negative attitude kwaMkurugenzi na DEO wa Bagamoyo pamoja na Midasi. Ni vizuri ufuate taratibu kufuatilia madai yako. Watumishi hawa ni tofauti unavyowafikiria, kama unadai malimbikizo ni vyema kupunguza jazba ya kuwatukana hawa watendaji wa serikali. Mimi mwenyewe nilikuwa na...
  10. O

    Diwani wa CCM Iringa awaguza waliofeli kidato cha nne mtaji wa kisiasa

    Diwani wa CCM ambaye pia ni mwenyekiti wa CCM mkoa wa Iringa, Jesca Msambatavangu aja na mpango kabambe utakaorahisishia wahitimu wa kidato cha nne waliofeli mtihani wa Taifa 2012 kujiunga vyuo mbalimbali vikuu. Katika mpango huo wahitimu wataanza kusoma kozi fupi fupi zenye vymasomo ya...
  11. O

    Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Iringa ageuza waliofeli form four mtaji wa kisiasa

    Diwani wa Miyomboni Kitanzini, Jesca Msambatavangu ambaye pia mwenyekiti wa CCM mkoa wa Iringa akutana na wahitimu wa kidato cha nne waliofeli na kuwaia moyo kwa kuja na kauli mbiu ya TUMAINI JIPYA ambalo lenye maneno ya "Sikiliza, Amua na Fanyia Kazi". Kwa kutumia kauli mbiu hiyo ameanzisha...
  12. O

    Matokeo ya Ihungo na Kahororo 2012

    Kahororo na Ihungo o level imeondolewa. Shule hizi ni a level tu kwa sasa.
  13. O

    Wanafunzi mliofeli kidato cha nne msikubali kutumika kisiasa

    Sumu una akili saana...matokeo mabaya sababu kubwa ni wanafunzi wenyewe shule hawataki...ingawa kuna sababu nyingine....serikali haiwezi kumfuata kila mwanafunzi nyumbani kwake na kumbeba mgongoni aende shule....au serikali haiwezi kumfuata na kumchunga kila mwanafunzi atumie muda mwingi...
  14. O

    Wanafunzi mliofeli kidato cha nne msikubali kutumika kisiasa

    Natoa rai kwa wote mliofeli mtihani wa kidato cha nne kuwa makini na wanasiasa wanaowachonganisha na serikali yetu tukufu ya Tanzania. Wanasiasa hao wamekuwa wakiwafanya muichukie serikali yenu kwa kutoa kauli mbalimbali mara baada ya kutangazwa matokeo ya kidato cha nne. Wanaweza kuwatumia kwa...
  15. O

    Thanx allah nimepangiwa kituo cha bagamoyo...............karibun i bagamoyo wapendwa,,,,ualimu nu rah

    Hongera kwa kupangiwa Bagamoyo,ila kumbuka Bagamoyo ni kubwa.Waweza kupangiwa hata Matipwili,Miono,Wami,au hata Saadani.Kwa shule iliyopo karibu na Dar ni Zinga,nyingine ni Kiromo.
  16. O

    Deo bagamoyo liangalie hili la kunifungia mshahara miaka 2 sasa

    Kaa chini utafakari ili uweze kupigania haki yako.Vilevile wahusishe CWT katika kudai haki zako.Vilevile ikiwa umeondoka kwenda kusoma bila ya ruhusa ya mwajiri inakuwa ngumu kupata haki zako.
  17. O

    Msaada wa kufundisha part time somo la Kifaransa.

    Habari zenu wana JF, Mimi ni mwalimu ninatafuta sehemu ya kufundisha part time somo la Kifaransa.Nina shahada ya Elimu na uzoefu wa miaka 2.Niko tayari kufundisha kuanzia primary school,sekondary school na colleges.Mwenye taarifa ya sehemu anapohitajika mwalimu wa Kifaransa naomba...
  18. O

    Msaada wa kufundisha part time somo la Kifaransa.

    Habari zenu wadau, Ninaomba mtu mwenye taarifa ya sehemu wanapohitaji mwalimu wa Kifaransa anifahamishe.Nina shahada ya Elimu na uzoefu wa miaka 5.Niko tayari kufundisha part time katika shule,chuo,center na hata tuition kwa mtu binafsi. Ahsanteni.
  19. O

    Ushauri juu ya ving'amuzi

    Hawa watu wa ving'amuzi magumashi tupu.Iweje channel za free to air watulipishe?Mfano startimes channel kama BBC,Al Jazeera,TBN,CCTV na nyingine za nje ni channel za free to air.iweje watulipishe pesa.Dish mpango mzima.Faida ya dish hakuna kulipia vilevile unaweza kuongeza na kupunguza channel.
  20. O

    Nyumba ya kupanga inahitajika Kimara Temboni - Mbezi

    Kuna nyumba zipo Mbezi jogoo zinapatikana.
Back
Top Bottom