Search results

  1. N

    Kura ya maoni: Edward N. Lowassa v/s Bernard K. Membe

    umeona, yani watu sijui ndo njaa, wanapewa vijisenti!
  2. N

    Kura ya maoni: Edward N. Lowassa v/s Bernard K. Membe

    Kura za kinafki! Kura za maoni wapige CCM sio watu wengine! CHADEMA wanajua kuwa akigombea MEMBE hawapati, lazima wajifanye kumshabikia MAMVI! Wanajua Mamvi akisimama watapeta tu! Kama na we uliyeleta post umepewa hela na Mamvi, ukome! Kwa nini ulete ya watu wawili tu, kuna aliyetanga kati ya...
  3. N

    Absalom Kibanda: Namuogopa Abdurahman Kinana

    Upinzani jamani wamekwisha! CCM wameamua sasa!
  4. N

    PICHA: Ziara ya Kinana Mtwara yafana

    Viva CCM!
  5. N

    Kwanini Mukama alipigwa chini ukatibu mkuu CCM?

    Ndo maana ukaitwa uchaguzi! Kuna ujio wa wapya na au kurudi wa zamani! Sio kila kitu unataka kuleta conspiracy! Akili nyingi hupelekea upumbv
  6. N

    EXCLUSIVE Interview with Zitto Zuberi Kabwe at Jamii Forums [Coming Soon]

    Ametangaza nia ya kugombea urais, je atakua vipi rais bila ya kua na mke au katiba haimbani?
  7. N

    Lowassa kachezeshewa "chekundu cheusi"?

    Kaka umetiririkaje!
  8. N

    Why Burry Mwangosi So Hurriedly?

    Tuache kuwa paranoid! Mtu utumbo ulishatoka na ukawa contaminated na external agent wangeuchelewesha ulishaanza kuharibika! Ukumbuke ulipigwa bomu so viungo vyake vimekatikakatika!
  9. N

    Udhalilishwaji wa waislam na vyombo vya dola

    waislam tunaelewa fika kuwa tunafanywa daraja la pili katika nchi yetu wenyewe. waislam wote wanaelewa,huwezi amini kuanzia primary level to university level,makazini,mitaani mpka majumbani waislam wanaelewa kuwa kuna ubaguzi mkubwa wa kini. tumeongea na tunaongea sana lakini hayapatiwi...
  10. N

    Which country has best intelligency agency

    Mossad ni the best!
  11. N

    Hukumu kesi ya Mnyika kunukia kesho

    ahsante kwa taarifa
  12. N

    Mafunzo ya karate

    sijui hata nikujibu nini! inawezekana una IQ kubwa lakini uwezo wa kichwa chako kuhimili IQ yko ni mdogo! mi siwez kushkuru mpka niwe nimeleta thread!? thnk about it
  13. N

    Mafunzo ya karate

    am contrary! am aint search kind of a person, Elimu yangu ni CV ya kutosha. martial art niliipenda tangu mdogo na kuweka nia nitakuja kucheza siku moja. kuna sehem moja hv nlicheza kidogo lkn kwa sbb y kubanwa na masomo nliishia njiani
  14. N

    Jinsi Lowassa alivyojichomeka sherehe za RC Ifakara na kumchefua kardinali Pengo

    Hao wanaoitwa mafisadi ndio wachangiaji wakubwa wa Kanisa katoliki! Afu at the same time kanisa linajinadi kukemea mafisadi, picha gani inajengeka! UNAFIKI MTUPU!
  15. N

    Jinsi Lowassa alivyojichomeka sherehe za RC Ifakara na kumchefua kardinali Pengo

    huo ni unafki, kwani lowasa mara ya kwnza kualikwa harambee ya kanisa katoliki! kuhusu yeye kualikwa harambee ilikua inajulikana kitambo kidogo na ilishapangwa aongee! RC hana uwezo wa kuvunja protokali
  16. N

    Mafunzo ya karate

    nawashkuru kwa taarifa, je mpka kufikia mkanda mweus inaweza chukua mda gani? na bei yke ikoje?
  17. N

    Wassira: Dk Slaa Si Msafi!

    KUMBE NA YE NI FISADI! km kawaibia watumishi wa mungu je wananchi wa kawaida.
  18. N

    Na Hawa Nao Wanaliombea Taifa????

    tupia na zingne km zipo! its so funny!
  19. N

    Na Hawa Nao Wanaliombea Taifa????

    hv mkulu kalala kweli hapo au alikua anajisogeza maana kwa style ile kulala ni ngumu aisee!
Back
Top Bottom