Search results

  1. Pafyum

    Naomba ufafanuzi katika Injini za 1GD na 2TR

    Habari wakuu, Naomba kupata uelewa kati ya engine 1GD Diesel na 2TR Petrol zote za Toyota Land Cruiser Prado. Ipi ni nzuri kwa durability, fuel consumption na parts? Zote ni CC 2800 Sent using Jamii Forums mobile app
  2. Pafyum

    Msaada: Mafundi bora kabisa Dar es Salaam wa kunyoosha na kupiga rangi

    Kama ni Dar es salaam cheki SMS garage wako kijitonyama. Wachek instagram sms garage Sent using Jamii Forums mobile app
  3. Pafyum

    Reviews za volkswagen touareg 2.5 tdi sport 5dr diesel engine

    Habari wataalamu Naipenda sana Volkswageni Touareg 2.5 Diesel Engine especially ya mwaka 2004 (maana latest Kodi yake siiwezi). Naomba kupata reviews kwa wataalamu kuhusu ubora wa gari hii, performance power, fuel consumption na kila kitu ambacho mtu ana uzoefu na gari hii. Natanguliza shukrani...
  4. Pafyum

    Muonekano mpya wa Diamond Platnumz ni fire

    hivi muonekano wa kistaa ni kuwa kike? angalieni vijana mtatolewa posa halaf mlalamike hapa
  5. Pafyum

    Uvumilivi unanishinda

    Unafanana na mamako au babako?
  6. Pafyum

    Ilikuwa ni lazima Masogange afe?

    Kwaio mamba kakutawaza na ulimi?
  7. Pafyum

    Ilikuwa ni lazima Masogange afe?

    Sehemu gani kuna maandano kwenye post ya Mshana? Unakuwa kama unajisaidia porini na umeona nyoka
  8. Pafyum

    Hivi Msukuma halisi huwa anatokea wapi?

    Aisee Wazinza, Wasumbwa, Watusi na Wakonongo sio Wasukuma hata kidogo. Hata hatuelewani nao kabisaaaaaaa. Sisi tunaelewana kwa rafudhi zetu ambazo zinampambanua huyu mnyantuzu, Mnang'wagala au mnasukuma. Lakini kamwe hatubaguani kama wachaga ndomana hiyo tofauti ya usukuman wengi hawaielew ila...
  9. Pafyum

    Mama kibosile 'ananitega' kazini

    Loading........16%
  10. Pafyum

    What should I do about this long distance relationship?

    20 years? that means mmezaliwa 1995? My God wasaidie hawa watoto
  11. Pafyum

    Naombe msaada kwa anayefahamu jina la wimbo huu

    Unaitwa coupe bibamba wa Awilo Longomba
  12. Pafyum

    Mama mtoto wa sugu avaa pampers kwenye birthday

    Watu wanataniana wanajuana wew unaingilia na kutukana matusi. Inathibitisha kabisa kuwa wewe ni mtoto wa nje ya ndoa
  13. Pafyum

    CHADEMA: Tutawatetea mahakamani wakurugenzi waliowajibishwa na serikali

    ukwel ni kwamba wamewatoa wakurugenzi wakristo wanataka kuweka wakurugenzi waislam ili mikakati yao iendelee. Huyo mwislam anaeonekana hapo ni geresha tu
  14. Pafyum

    Anayeuza Toyota vitz

    Hizo hizo!
  15. Pafyum

    Anayeuza Toyota vitz

    2.5? Kanunue boxer
  16. Pafyum

    Airtel kweli ni Baba Lao.. Angalia wamekuja na hii sasa

    Mi mbona namaliza 2GB kwa mwezi? We unadhan watu wote wanatumia internet kwa JF tu?
  17. Pafyum

    Gari la kubebea wagonjwa lakamatwa likitumika katika wizi ndani ya Mgodi wa Geita

    Kishakwambia anatafta picha ataweka. Husomi thread had mwisho?
  18. Pafyum

    BABA LEVO: Diamond kaniibia chorus ya my No.1

    Baba Levo ndo nan?
  19. Pafyum

    Mwingine tena akamatwa na madawa mchana huu kaweka kwenye Johnson Powder

    Watu wengne sjui mmekalili? Hujaelewa alivoreport au nawewe unataka uonekane kuwa ni intellectual?
Back
Top Bottom