Search results

  1. M

    Natangaza kuchukua jimbo tarajiwa la Kahama mjini

    karibu kahama FM kwamahojiano zaidi na live watu wakusikie
  2. M

    Mh.susan kiwanga,peter msingwa,mpendazoe wamkamata mwizi kingston-morogoro

    leoo mjini morogoro katika ukumbi wa Forest Hill secondary kulikuwa na kongamano la vijana wanachuo vyuo vikuu wakijadili mstakabali wa vijana katika miaka hamsini ya uhuru na muungano katika kuleta maendeleo ya nchi hii.Watoa maada walikuwa \mh. Peter Msigwa,Mh Susan kiwango na Anko...
  3. M

    Tanzania haina hospitali inayotoa huduma kwa bilioni moja siku nane

    wadau nchi kama tanzania ikiweza kutoa huduma ya gharama ya bilioni moja kwa matibabu ya bure basi inauwezo wa kutoa matibabu bure kwa wagonjwa hospitali za rufaa zote nchini kwa siku nane,hii ni baraka mponda step down tu,usione aibu.
  4. M

    Wabunge kupiga kura ya kutokuwa na imani na Waziri Mkuu Pinda?

    kapinda kamechukia kanamawazo mabaya,hakawezi kutoa ushauri wa maana,kwa rais taifa harina hospitali yenye uwezo wa kutoa huduma kwa gharama ya bilioni moja kwa siku nane
  5. M

    Kikwete anusurika, awang’oa wenzake

    Dr asha rose migiro kaandaliwa kubeba mikoba ya jk kiulaini tusubili yetu macho
  6. M

    Dkt. Mwakyembe: Nimekerwa sana na msimamo wa Jeshi la Polisi juu ya afya yangu

    pole bwana,mungu aitangulie safari yako
  7. M

    Wamarekani watafuta uwekezaji katika nishati

    Du nishati ya gesi haijatumika kumnufaisha mwananchi wa kawaida,uharibifu wa mazingira unaongezeka mwaka hadi mwaka,Tutakapo kataa fursa hii itakuwaje,kikubwa ni uandaaji wa mikataba mizuri.
  8. M

    Mswada Katiba Mpya: MAONI YA KAMBI YA UPINZANI BUNGENI....

    ngoma imenoga acha tu mafisadi wanune
  9. M

    Wanaharakati Helen Kijo-Bisimba na Ananilea Nkya wakamatwa na polisi

    poleni sana wanaharakati,nawakumbusha pia kufatilia athari za tukio zima lazima zifikishwe ve hauge kwa okampo,poland maana MP anafikiri roho zilizopotea atazifufua kwa kuleta madaktari wa jeshi la china.
  10. M

    KIKWETE huyooooooo FINLAND

    anakwenda kufanyiwa massage ya mdomo si unajua kaongea sana mambo ya kitaifa juzi katika sherehe za chama cha wasiouguza wala kuugua.
  11. M

    Maandamano baridi na Legal and Human Rights Centre, Salender Bridge

    dar mama sitta kaikubali muhimbil balaaai; source ITV
  12. M

    Maandamano baridi na Legal and Human Rights Centre, Salender Bridge

    alie toa tangazo la kutawanyika hajawahi,kuuguza,kufiwa,wala kuugua, na ndugu zake wanamiili ya chuma wakiugua wanachomelewa gereji bubu buguruni tuna mjua sana.bibi yake anauwezo wakuyeyuka kama barafu hugandishwa kwa mtambo wa babu loliondo just mia tano nauli bure.atishwi na mtu kudadadeki....
  13. M

    Maandamano baridi na Legal and Human Rights Centre, Salender Bridge

    mikoani vipi hayo matawi yenu yanafanya nini au wao hawaugui au kuuguza.
  14. M

    Maandamano baridi na Legal and Human Rights Centre, Salender Bridge

    hongera wakuu kwa msaada wenu kwa wanyonge
Back
Top Bottom