Search results

  1. George Kahangwa

    Mdahalo wa wazi ulioandaliwa na UDASA kuadhimisha miaka 58 ya Uhuru tarehe 09.12. 2019

    Tunakushukuruni nyote mliofuatilia. Mdahalo ulirekodiwa hapa Mwanzoni link ina shida kidogo,ila mbele imekaa vizuri, hususan sehemu ya mzee Butiku.
  2. George Kahangwa

    Mdahalo wa wazi ulioandaliwa na UDASA kuadhimisha miaka 58 ya Uhuru tarehe 09.12. 2019

    Tumepeta changamoto kwenye suala hili. Tukithibitisha tutasema. Ila maandalizi ya live streaming yako vizuri.
  3. George Kahangwa

    UDASA enzi za Chachage ilikuwa na mijadala yenye afya ya akili

    Wakuu, karibuni kwenye mdahalo ulioandaliwa na UDASA. Utafanyika tarehe 09.12.2019, UDSM Ukumbi wa Nkrumah, kuanzia saa nane (8) mchana. Wahi nafasi yako. Mada ya siku: Miaka 58 ya uhuru wa Tanganyika; wajibu na mchango wa wanataaluma/wasomi katika maendeleo ya taifa. George Kahangwa UDASA Chair.
  4. George Kahangwa

    Mdahalo wa wazi ulioandaliwa na UDASA kuadhimisha miaka 58 ya Uhuru tarehe 09.12. 2019

    Wakuu, Tunakukaribisheni nyote katika mdahalo huu. Ahsanteni
  5. George Kahangwa

    Mdahalo wa wazi ulioandaliwa na UDASA kuadhimisha miaka 58 ya Uhuru tarehe 09.12. 2019

    CHUO KIKUU CHA DAR ES SALAAM Jumuiya ya Wanataaluma wa Chuo Kikuu cha Dar Es Salaam (UDASA) S.L.P 35091 – DAR ES SALAAM - TANZANIA Chair: 0713 563 212 Secretary: 0784687530 Treasurer: 0756594250 Editor: 0756260602 E-mail: udasa@uccmail.co.tz...
  6. George Kahangwa

    UDASA enzi za Chachage ilikuwa na mijadala yenye afya ya akili

    Wanajamii forums, Kwa niaba ya UDASA nimeitika, na nimeelewa ni nini mnatarajia tufanye. Tunaandaa mdahalo, na tutaleta kwenu taarifa hivi karibuni. Naomba nikufahamisheni pia kuwa ile club yenye jina la UDASA si kitu pekee tulichonacho, na si kwamba kimeanzishwa juzi. Wakati UDASA yenyewe...
  7. George Kahangwa

    Malipo ya Watumishi yazua jambo Chuo Kikuu cha Dar es Salaam

    Siko NCCR na wala sina juhudi ninazoziunga mkono
  8. George Kahangwa

    Malipo ya Watumishi yazua jambo Chuo Kikuu cha Dar es Salaam

    Mkuu, Unadhani tuko pungufu ya hao?
  9. George Kahangwa

    Kununuliwa Wabunge/Madiwani wa Upinzani; Kunaelezea Kinachoendelea Huko?

    Nadhani kununuliwa kwa wabunge na madiwani wa upinzani hakuelezi zaidi shida ya kambi ya upinzani pekee, bali shida ya nchi kwa ujumla. Kwamba sasa ufisadi umepata tawi jingine linalokua kwa kasi, yaani wanunuzi na wanunuliwa katika uongozi wa kisiasa. Hivyo, wahusika wa ufisadi huu wanapatikana...
  10. George Kahangwa

    Mtoto wa Marehemu Chacha Wangwe na Diwani wa kata ya Turwa(CHADEMA), Zakayo Chacha Wangwe ajiunga CCM

    Heri ya mwaka mpya kwako pia na jamiiforum members wote.
  11. George Kahangwa

    Mtia nia ya kuwania Urais kupitia UKAWA ajivua uanachama wa NCCR - Mageuzi

    Jojokojo please! Heshima kitu cha bure.
  12. George Kahangwa

    Mtia nia ya kuwania Urais kupitia UKAWA ajivua uanachama wa NCCR - Mageuzi

    DK. KAHANGWA: SIWEZI KWENDA CCM, HAITAKI KATIBA MPYA
  13. George Kahangwa

    Mtoto wa Marehemu Chacha Wangwe na Diwani wa kata ya Turwa(CHADEMA), Zakayo Chacha Wangwe ajiunga CCM

    Mkuu Zitto, Umesoma hii? DK. KAHANGWA: SIWEZI KWENDA CCM, HAITAKI KATIBA MPYA
  14. George Kahangwa

    Mtia nia ya kuwania Urais kupitia UKAWA ajivua uanachama wa NCCR - Mageuzi

    Mkuu Halima, ahsante kwa wito. Unataka kujua kilichonivutia kufanyaje?
  15. George Kahangwa

    Midahalo ya udasa imefia wapi?

    Mdahalo wa wazi kuhusu Muungano wa Tanzania kufanyika UDSM 26.04.2017 Mdahalo mwingine utakuja hivi karibuni
  16. George Kahangwa

    Mdahalo wa wazi kuhusu Muungano wa Tanzania kufanyika UDSM 26.04.2017

    Kwa watanzania wote, Jumuiya ya Wanataaluma ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDASA), imeandaa mdahalo wa wazi utakaowapa wananchi fursa ya kuutafakari Muungano wa Tanganyika na Zanzibar, kwa kuangalia tulikotoka, tulipo na tunakoelekea. Mdahalo utafanyika katika ukumbi wa Nkrumah wa Chuo Kikuu...
  17. George Kahangwa

    Waraka wa UDASA kwa watanzania kuhusu huduma nchini

    Gfsonwin na wote mliochangia kwa kusoma na au kuandika maoni, Awali ya yote, ahsanteni sana. Nijibu tu kwa ufupi kwa sasa kuwa, hatupuuzi kwamba huduma zitolewazo UDSM na au chuo kikuu kingine chochote nazo zina mapungufu. Kimsingi ujumbe wetu ni kwa watoa huduma wote; Chuo Kikuu cha Dar es...
  18. George Kahangwa

    Waraka wa UDASA kwa watanzania kuhusu huduma nchini

    WARAKA WA UDASA KWA WATANZANIA: HAJA YA KUBORESHA UTOAJI WA HUDUMA KATIKA NYANJA MBALIMBALI NCHINI Machi 2017 Miaka ya hivi karibuni imeshuhudia ongezeko kubwa la mchango wa sekta ya huduma (inayojumuisha biashara, usafirishaji, malazi, mawasiliano, fedha, elimu na afya) katika kuimarika kwa...
Back
Top Bottom