Search results

  1. Josephine03

    Rais wa nchi kuiita pesa ya nchi yake pesa ya madafu, kiongozi kweli huyo?

    Kwahili hats mimi sijaona shida kuiita pesa yetu no madafu sababu neno pesa ya madafu inamaanisha dafu halijawahi au muuza dafu hawezi kupanga being ya dafu kwa gharama za kigeni. Name dafu laliwa lachokolewa sana hapa kwetu mpaka twapata tezi Duke Yakheeee
  2. Josephine03

    Baada ya CHADEMA kutikisa Jimbo la Isimani,Lukuvi aanza kubambikia Vijana kesi Polisi

    Unamaanisha huyu Lukuvi mwenye pesa zetu za escrow??????
  3. Josephine03

    Uchaguzi Serikali za Mitaa 2014: Matokeo kutoka nchi nzima (TZ Bara)

    Ifakara kwa mwanasheria wetu Kibatara kati ya mitaa 33 tumechukua 26 wao 4 tena ndio kama vile
  4. Josephine03

    Taarifa ya Msiba..

    Dah, Pole sana, Mwenye Enzi Mungu awape nguvu na mioyo ya huruma
  5. Josephine03

    Barua ya wazi kwa Mh MBOWE,JOHN MNYIKA,TUNDU LISSU,PETER MSIGWA nk.Someni ni muhimu!!

    Nasikia Tunu kayazoea sana haya machozi, sijui jamaa anafanya bongomovie?
  6. Josephine03

    world vision

    Pole, re-arrange CV yako tu
  7. Josephine03

    Nahitaji busara zenu katika hili, Mzee mwanakijiji, Mchambuzi na wengineo

    Kati ya hao watatu mimi sipo, ngoja nisubirie vipanga wa JF
  8. Josephine03

    MFUASI wa CHADEMA apoteza maisha wakati akishangilia Ushindii wa Udiwani Arusha!!

    Dah Umetangulia kamanda umetuachia majonzi, pole familia ya marehemu mpate nguvu na Mungu awalinde
  9. Josephine03

    Nilidhalilishwa sana, ila mambo yamebadilika!

    Mikasa haiishi kabisa jamani
  10. Josephine03

    Wananchi wa Kawe walia na upinzani

    Ushaanza kuweweseka wewe Mwache kamanda Mdee apige kazi kwa uhuru
  11. Josephine03

    Wasanii wa kizazi kipya wanaotarajiwa kugombea ubunge 2015

    Hivi kugombea ndo kuwa rais mpaka umfanyie mfano? Unajielewa kweli mkuu
  12. Josephine03

    Wasanii wa kizazi kipya wanaotarajiwa kugombea ubunge 2015

    Ngoja nikusaidie Sugu ni form six na ana exposure ambayo akisimama na wewe na kadigirii kako ka Kata lazima uzime zako. Alipoenda ulaya alifanikiwa hata kurudi na vifaa vyake sio huyo Krisslukosi wenu mpaka leo anabeba box, akirudishwa bahati mbaya hajui ataanzia wapi
  13. Josephine03

    Masters za open university

    Usifikiri uzuri wa chuo ni kuwa na kina Dr. Mbamba au Dr. Yeyote wa UD maana hata wao wanafundisha na kutunga mitihani na kusahihisha kulingana na wanafunzi wao, jaribu kufatilia utapata hilo jibu ndo haohao wanafundisha Mzumbe, IFM hata SAUT na KIU. Au nikusaidie subiri matokeo ya form four...
  14. Josephine03

    Masters za open university

    Muweke Mulugo Mbele yako alafu ujiulize hilo swali na uanze kujipa majibu mwenyewe, je ungemuajiri?. Unajua vitu vingine usipeleke kwenye umati utapata majibu ya hisia tu
  15. Josephine03

    Ni kweli nilikuwa mwenyekiti wa CHADEMA lakini sijawahi kuwa na kadi ya uanachama ya CHADEMA

    Usimpe kichwa hakuwa kiongozi wa Chadema bali alikuwa kibaraka wa Chadema kusaidia kufikisha ukombozi kwa watu huku mwenyewe akihisi atafisadi sasa analalama kama mjane aliyedhulumiwa. Hivi ni kikao kipi kilikuchagua na umewahi kuitwa kuja kushiriki mikutano ipi ya viongozi wenzako
  16. Josephine03

    Ofisi ya CHADEMA kata ya Ruaha yavamiwa

    Tunajiweka rehani kwa manufaa ya ndugu zako sio chadema, Ufisadi wako usikufanye ukasahau ndugu zako bwanyenye wewe
  17. Josephine03

    Ofisi ya CHADEMA kata ya Ruaha yavamiwa

    ha hahahaha!!! I like this, yaani wakifikiri wanachadema tutapandwa na jaziba haya ndo majibu
Back
Top Bottom