Search results

  1. Mkweli mwaminifu

    Waziri Mwigulu Nchemba ndani ya Star Tv

    Tayari mhe Mwigulu yuko live now Star TV
  2. Mkweli mwaminifu

    Waziri Mwigulu Nchemba ndani ya Star Tv

    Ni vyema tumsikilize, Atakuwa anafafanua mambo mbalimbali.
  3. Mkweli mwaminifu

    Waziri Mwigulu Nchemba ndani ya Star Tv

    Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mwigulu Lameck Nchemba atakuwa live katika kituo cha Star Tv kwenye kipindi cha tuongee asubuhi dakika chache zijazo. Usikose kufuatilia
  4. Mkweli mwaminifu

    Msema kweli ni mpenzi wa Mungu

    nchi inaenda enda tuu
  5. Mkweli mwaminifu

    Msema kweli ni mpenzi wa Mungu

    watumishi ,wanafunzi,wanaosubiri ajira,wafanyabiash,wakulima wote hawa bado WANAJIPA MOYO wanasema HUENDA HUKO MBELE MAMBO YATAKUWA MAZURI, HUENDA HUKO MBELE ATAAACHIA. ila SIKU WAKIKATA TAMAA Hawa waliokuamini itakuwa hatari kubwa
  6. Mkweli mwaminifu

    Msema kweli ni mpenzi wa Mungu

    Hospitalini dawa hakuna, AJIRA zimesitishwa , vijana wamejaaa mtaani hawana matumaini, watumishi wanasononeka hawajapandishwa madaraja,hawajalipwa madai Yao, call allowance,extral duties kwa watumishi hakuna.,kwa waganga na manesi wetu. Wanavyuo wanalia MIKOPO hakuna . nchi inaenda kama...
  7. Mkweli mwaminifu

    Angekuwa ndiyo Lowassa...

    lowasa asingefanya Huuu ujuha wa kusitisha ajira kwa vijana,
  8. Mkweli mwaminifu

    Majibu ya Waziri Mwigulu Nchemba kuhusu tuhuma za kughushi vyeti vya taaluma, kuiba jina

    mi nadhani tuna mambo mengi ya kujadili. mhusika kashatoa ufafanuzi kwa mtu mwelewa atakuwa ameeelewa. tusipende sana siasa .
  9. Mkweli mwaminifu

    Majibu ya Waziri Mwigulu Nchemba kuhusu tuhuma za kughushi vyeti vya taaluma, kuiba jina

    mbona mh kashafafanua kila kitu bado watu wanahoji nn
  10. Mkweli mwaminifu

    Prof.Anna Tibaijuka, Jobs

    ni uongo na hao ni matapeli . nimewasiliNa na mama tibaijuka kanambia ni uongo na kasema tumsaidia kuwaaambia na wengine wajiepushe na upuuzi huo
  11. Mkweli mwaminifu

    Mafunzo ya JKT kwa kujitolea kwa mwaka 2016

    tuwe na subira tuuu.
  12. Mkweli mwaminifu

    Mafunzo ya JKT kwa kujitolea kwa mwaka 2016

    hivi mnaouliza lini mtaenda ? mnadhani humu mtapata jibu sahihi zaidi ya kudanganywa/ kupotoshwa/ kufarijiwa/ kukatishwa tamaa& kudanganyana???? hiii awamu ya tano mambo hayo ya ajira ni mpaka JPM mwenyewe atoe tamko .
  13. Mkweli mwaminifu

    Hapa kazi tuu

Back
Top Bottom