Search results

  1. KingRich

    Kwa anayehitaji barley

    Barley inapatikana kwa walio dar es salaam gunia tsh 150,000.
  2. KingRich

    Gari inauzwa fasta

    Kitu kama hukijui ni bora ukae kimya,mimi natumia isuzu bighorn "plaisir" cc 2990 diesel with turbo charger huu ni mwaka wa saba!!na nasafiri nayo kwenda mikoani mara kwa mara, sasa hivi ina km 570,000.na bado iko vizuri.sijawahi kutafuta spea yoyote na kuikosa.hii gari ndio inayotumika USA kwa...
  3. KingRich

    Baada ya kuchukua mkopo Benki, mwezi wa pili sasa hawajanikata mshahara

    Ha ha ha haaaa...acha ujinga,kulingana na tarehe uliyokopa kuna mwezi mmoja wa usiokuwa na makato.ww chekelea tu.
  4. KingRich

    Kiwanja kinauzwa Mbezi

    -Kiwanja kina ukubwa wa metre 26×40. -Kiwanja kina huduma zote muhimu kama umeme na barabara. -kiwanja kipo umbali wa 1.9km kutoka morogoro road upande wa kulia kama unatoka mbezi mwisho maeneo ya Luguruni. -bei ya kiwanja ni 15mil. -karibuni.
  5. KingRich

    Isuzu bighorn inauzwa fasta

    ni vizuri umerekebisha tangazo lako,wakati mwingine uwe makini kabla ya kuweka bandiko lako usije ukaonekana kuwa ni tapeli.
  6. KingRich

    Isuzu bighorn inauzwa fasta

    mkuu hiyo gari Engine yake ulibadilisha au?tafadhali taja aina ya hiyo Engine,kwasababu hakuna Isuzu Bighorn yoyote ya mwaka 1998 na kuendelea inayotumia diesel ikiwa na cc 2000!
  7. KingRich

    Used MacBook Air 2013 inauzwa

    mkuu naomba uni pm namba yako kama bado hujauza.
  8. KingRich

    Used MacBook Air 2013 inauzwa

    daaah!!!!hii machine naitamani,katangazo kanajitosheleza,lakini mkuu bei haipungui tena kidogo?
  9. KingRich

    Natafuta gari la kutembelea

    mimi natafuta Isuzu BIGORN mwenye nayo kama iko katika hali nzuri ani pm tufanye biashara.
  10. KingRich

    mwenye laptop hp pavillion dv6

    HP Pavilion dv6 procesor : Triple- core procesor 1.80GHZ AMD Phenom P820 RAM : 4GB Hard disc : 300GB Used but still in exellent condition Available for 750,000tsh
  11. KingRich

    Galaxy s iii inaitajika

    Hiyo ni mpya mkuu!!....lakini kuna nyingine ni 700,000tsh,imetumika miezi miwili.
  12. KingRich

    Rav4 five doors for 7.5mil,call 0654990001

    Gari bado ipo!na namba mbona inapatikana mkuu!!!
  13. KingRich

    Rav4 five doors for 7.5mil,call 0654990001

    Hizi picha ni za sasa jinsi gari ilivyo,ni utunzaji mzuri tu wa gari.
  14. KingRich

    Rav4 five doors for 7.5mil,call 0654990001

    Model:toyota rav4 1998 transmission: Automatic odometer: 190000km cc: 1998 available in good condition and duty paid. --------------------------- IMEUZWA
  15. KingRich

    Samsung Galaxy S3 used inauzwa,bei ni tsh 800,000

    Samsung Galaxy S3, Simu hii imetumika kwa muda wa miezi miwili iko katika hali nzuri na haina mikwaruzo yoyote,pm kama unahitaji. ----------------------- IMEUZWA
  16. KingRich

    Natafuta samsung galaxy s II,s III na htc jetstream

    samsung galaxy s3 ipo bei ni 1mil.ni pm kama unahitaji.
  17. KingRich

    Galaxy s iii inaitajika

    1mil ni pm kama uko tayari.
  18. KingRich

    Increase your internet speed

    thx bro!!!amazingly it works 100%,now i am enjoying the highest internet speed haijawahi kunitokea.
Back
Top Bottom