Search results

  1. N

    Shehena ya Madawa ya Kulevya Yakamatwa Gereza la KEKO!

    Ni kweli iliyo wazi kwa hiyo open later.
  2. N

    Shehena ya Madawa ya Kulevya Yakamatwa Gereza la KEKO!

    Mlango uko wazi vijana wanapitisha tu.:):):):)
  3. N

    Udhalilishaji: Video ya PNC akimuomba msamaha Ostaz Juma na Musoma

    Alifata maneno ya wahenga mtaka cha uvunguni...........
  4. N

    Udhalilishaji: Video ya PNC akimuomba msamaha Ostaz Juma na Musoma

    Ha ha ha je kukaa karibu na moto ni kuuota au kujiunguza?
  5. N

    Matokeo ya necta kidato cha pili 2013

    Hata mimi nayahitaji kwakweli baba wa jirani presha juu kwa mwanae:sad::sad::sad::sad:
  6. N

    Nimwache au niendelee nae?

    Naona rutashoborwa umeamua kunifananisha na w watunzi wa nyimbo za mapenzi za ibongo,tehe!tehe!.
  7. N

    Nimwache au niendelee nae?

    Umeeleweka kaka ila hauisi kaka ake akijiua itakuwa mbaya?
  8. N

    Nimwache au niendelee nae?

    Hakika hakuna anayewahi kubadilika maumbile km mwanamke,wadau hii imemkuta jamaa yangu ndani ya facebook baada ya kuchat na sana na binti mwisho wa siku wakabadilishana no ktk maongezi jamaa akajitambulisha jina kinaga ubaga binti akagundua kuwa anamfahamu jamaa ambaye ni rafiki wa kaka yake je...
  9. N

    Amnesty during union festival.

    Let me talk this after seeing what mr jk has done to prisoner,I was watching newz and what I saw it was the forgiveness that mr jk gave different prisoner like HIV victim,those women who were taken jail while they were pregnant,the question here is why others have forgiven and not pipo like...
  10. N

    Upeanaji number za simu

    Thanx all guyz since I've done the best and the girls was so hot for I gave her joking which accompanied with the truth at the end of day she told me to be a patient till she'll give answer,last words she told me gud thing doesn't need hurry,thanx so much.
  11. N

    Upeanaji number za simu

    usijali bagaha mtoto alikuwa ni mkali swag za hapa na pale ila mdau nikatia neno mwisho mambo yakawa mswano.
  12. N

    Upeanaji number za simu

    Thanx all guyz since I've done the best and the girls was so hot for I gave her joking which accompanied with the truth at the end of day she told me to be a patient till she'll give answer,last words she told me gud thing doesn't need hurry,thanx so much.
  13. N

    Upeanaji number za simu

    Wadau naomba tutete kinaga ubaga,kuna jamaa yangu kanipa no ya binti mmoja na binti nimeisha ongea nae several time ila yet sijamwambia linalo nisibu kwake,na leo kaniomba tukutane na hatujawahi onana je unahisi ni maneno gani yanafaa mi kunena nae pale tutakapokutana?
  14. N

    JK kuvunja baraza la mawaziri baada ya sherehe za Muungano

    Ni hisia zetu ila kiukweli hii itachukua muda kufanyika.
  15. N

    Kifo cha Steven Kanumba na hatma ya Elizabeth Michael (Lulu)

    True dat kakungura lets wait judgement.
  16. N

    Kifo cha Steven Kanumba na hatma ya Elizabeth Michael (Lulu)

    Hapana bana she doesn't deserve such blaiming kwn she's also a human being so lets give her chance to confess what she did perhaps she's not guilty jaman ila nacho kipunguze uchakaramu.
  17. N

    Kifo cha Steven Kanumba na hatma ya Elizabeth Michael (Lulu)

    Hapa mi sitii neno bandugu hebu aliyeko eneo la tukio la makaburin.
  18. N

    Hukumu ya lema ilipikwa.

    Uliyoyanena ni ya kweli mkuu so unahic nn kfanyike kwan hukumu ndo hyo imeishatoka.
  19. N

    Updates: Zoezi la kupiga kura - Arumeru East

    Hasante sana mdau vp khs watu kutokuona majina,kampen zisizo rasmi hali kadhalika utulvu upande wa arumeru?
Back
Top Bottom