Search results

  1. R

    Waziri Angellah Kairuki na Mhe. Rais, kwanini mlisitisha ajira 3000 za hawa vijana masikini?

    mkuu habari za kweli hizi kuna mdogo wangu ana salary slip ya mwezi wa tano ila yupo home anakula ugali tu huku anasubilia hatima yake ambayo haijulikani itakuwa lini.Wanateseka sana mkuu alikuwa huko mkoa na anadaiwa kodi inabidi nimlipie ndo akachukue vitu vyake. ni shidaa sana
  2. R

    Rais Magufuli: Ajira mpya zinaendelea, zilisimama kwa miezi miwili pekee

    Hao vijana waliositishiwa ajira mwezi june 2016 kiukweli wanateseka sana, wengi wao walishapanga nyumba hadi sasa wanadaiwa kodi na vitu nyao vimezuiliwa na wenye nyumba NA mwezi june hawakupewa mshahara ingawa walifanyakazi hadi tarehe 23/6/2016. Nauli za kurudi makwao tuliwachangia baadhi...
  3. R

    Watumishi wa umma waliorudishwa nyumbani june 2016

    mwakani tena???, hao waliorudishwa nyumbani kweli wanatia huruma sana maana kuna jamaa yangu mmoja aliachakazi hapa ofisini, sasa hivi anajutia maana kodi imeisha alikokuwa kapangiwa na kurudi huku nafasi yake alishaajiriwa mtu mwingine ni shida maana anafamilia na mtoto mmoja . mheshimiwa sn ni...
  4. R

    Kanda ya Ziwa ni Lowassa

    Jiandae kufa tu sisi huku busweta (tarime) tutampa tu kula za kutosha
  5. R

    Sikubaliani na hoja ya Lowassa Kujiengua CCM na Kujiunga CHADEMA/UKAWA

    ni ndoto hizo nchi kupewa mamvi mara 100 % wagemsimamisha Lipumba anakubalika sn kulikoni huyo.
  6. R

    CHADEMA waita Wahariri - Jumanne, 28 Julai 2015

    watu watapiga hela tena kwa mamvi!!!! jamani tujianda kumalizia vibanda vyetu kwa hela za mamvi zinakuja tena te te teee watu nanafurahiya kupiga hela tu kwa huyu mtu
  7. R

    Nurse natafuta mtu wa kubadilishana naye

    namba yangu ya simu ni 0766-787503
  8. R

    Nurse natafuta mtu wa kubadilishana naye

    Mimi ni nurse wa ngazi ya Diploma natafuta mtu wa kubadilishana naye kituo. Mimi nipo katika hosipitali ya wilaya ya Ngara, Nyamihaga. Nataka kubadilishana na mtu wa Pwani au Dar es salaam. Namba yangu ya simu ni 0766-787503.
  9. R

    Kiwanja Kinzudi kinauzwa jirani na Sarasara

    ni karibu na wapi na bei gani????ni mwisho wa lami au
  10. R

    1998 Toyota Corolla 111 Inauzwa

    mi nina 4m kaka unachukua
  11. R

    Clouds Media vs Times FM na msiba wa Ngwair

    clouds walaji tu hao. ndo maana jd aliwachana live
  12. R

    Wadau! vp Tanroads kibaha wamesha ita watu kazi au bado

    bado hawajaita watu mkubwa vuta subira!!!
  13. R

    Namuunga Mkono Mwana FA, na wasanii wengine kufanya show zao tarehe moja na show ya komando JIDE

    wewe naye umetumwa na ruge na kusaga mi sishagai coz hujitabui
  14. R

    Zitto: Sijahongwa, ni siasa za urais na hasira za posho!

    mambo ya dini yametoka wapi tena! hao wezako mliopo ktk dini moja ndo wameimaliza nchi kwa wageni mbona husemi, acha udini mkubwa!!!!!!!!!!!!!!!!!!
  15. R

    Toyota collola ceres inauzwa

    Ipo ktk hali nzuri sana inatembea bei ni 3.5m ipo Dar kinondoni karibu na kanisa la biafra kwa yeyote atakayeta kuiona tuwasiliane kwa number 0766 787503,
  16. R

    Duuh! Hii sasa kali.. kila siku jipya kuhusu Lulu

    Ni kweli cha ajabu ni kipi mtu kuwa na majina mawili?
  17. R

    Tanzanian actor Steven Kanumba reported dead

    si kama kanumba nature zamani si siku hizi maana katia ya neture na diamond ndo watu wa kuliganisha naye bt si kanumba the great
  18. R

    Gossip: Lulu

    msameeni mtoto wa watu jaameni maana hakutegemea, kifo ni kwa kila binadamu so siku yake imefika na hata huyo mtoto akitoka leo atakua anajuata kwa kusababisha kifo cha kanumba the great, bt for me she is innocent person, kukimbia ni kuepusha shari,tuwe wakweli wanajamii fr.
  19. R

    Tanzanian actor Steven Kanumba reported dead

    hacha utoto maana jamaa alikua mkali sn kuliko sir nature maanahata mtoto wa miaka 3 anamjua kanumba ama kweli chema hakidumu
Back
Top Bottom