Search results

  1. S

    Event planners & organisers

    Kuna kampuni inaitwa captive and creative co ltd wanaweza fanya hiyo kazi kwa Ufasaha wanapatikana kwenye website yao captivecreatice.co.tz au wasilianana kwa namba 0784 171092 au 0714 600898
  2. S

    wateja elfu 5 wahama AIRTEL ONYOOOO

    Hiyo moderm yao nimeshagawa longtime nimebaki na BB service tu kwa package ya uhakika na cheap bora zantel ila sasa sijui zantel ukiwa maswekeni
  3. S

    Nani ana data za utajiri wa diamond? Nasikia ni billionaire

    Wewe acha kudanganya watu hizo nyumba zipo hapa Dar ni apartments zipo mikocheni ya msasania tanesco ofc za kinondoni maeneo ya TMJ hospital kaka ukiingia njia ya vumbi ya kuelekea baharini msasani bonde la mpunga
  4. S

    Office for rent

    Yaani hata sisi tunatafuta ofc maeneo hayo ila sasa kila tunapoenda wanatupatia rate za mambo ya per squar metre tena rate za USD mpaka tunatafuta nyumba tuu tuipange
Back
Top Bottom