Search results

  1. katesh

    Madiwani wa Halmashauri ya wilaya ya Hanang kumsimamisha kazi DED kwa kashfa za ubadhirifu

    Madiwani ktk Halmashauri wilayani Hanang wameazimia kumsimamisha DED Hanang ndg. FELIX MABULA kutokana na tuhuma za ubadhirifu.
  2. katesh

    Baada ya Lowassa kuhama CCM hali ilivyo Monduli

    Magufuli ndio habari yote.
  3. katesh

    Yaliyojiri Mkutano wa CCM na waandishi wa habari Peacock Hotel

    Watanzani ni waajabu sana, eti leo tumesahau kbs waliyotulisha na kutuaminisha majukwaa kuwa lowassa ni fisadi, hao hao akina mbowe, slaa, lema, mbatia, lipumba wanamsafisha na kumnadi kuwa ni mtu safi. Dah kichefuchefu cha siasa. Watu wanapiga deal kwenye mgongo wa siasa Vs wananchi.
  4. katesh

    NOMINATION PROCESS ndani ya CCM 2015:Asante Kikwete

    Anastahili pongezi kwa hatua hii na kwa kweli hakuna aliyetarajia haya. Maneno yalikuwa ni mengi mno kuhusu jk na hatma ya ccm.
  5. katesh

    Kuna kila dalili uchaguzi mkuu 2015 hakuna

    Super mbururaz.
  6. katesh

    Prof. Anna Mughirwa live star TV

    Ameonyesha uwezo mkubwa wa uchambuzi wa masuala ya kisiasa, amefafanua vema dhana ya kiongozi wa chama. Kipindi kiko vizuri sana leo.
  7. katesh

    Pikipiki za polisi aina ya jie-peng (xl mchina) rangi nyeupe kwisha habari yake

    Huku mkoa wa manyara nyingi Bado zinafanya kazi, huko mikindani ni wah arising tu, ishu ni matunzo.
  8. katesh

    Lissu awasha moto Mto wa Mbu wilayani Monduli

    Pumba tupu hakuna cha maana walichoongea, zaidi ni kutumia vibaya fedha za walipakodi. Waamedanganya umma kuwa dr.slaa anakuja kumbe Lissu, wananchi wamehoji slaa yuko wapi wamekosa majibu! Shame of u Lissu.
  9. katesh

    Uteuzi wa Juma Nkamia ni kuua uhuru wa vyombo vya habari - Meena

    Waandishi wa habari ni wanafiki sana! Wao ni watu wanaoeleza jamii umuhimu wa mawaziri wanaoendana na field zao, leo wanamponda nkamia, huo ni ubabaishaji na ukanjanja. Wao wapige kazi na sio kujenga hofu na kuturudisha nyuma, mwabwege kbs. HONGERA KK NKAMIA PIGA KAZI WENGINE TUNAJUA UWEZO WAKO.
  10. katesh

    Rais Kikwete afanya Mabadiliko katika Baraza la Mawaziri - Jan 19, 2014

    Ombeni sefue katibu mkuu kiongozi anatoa maelezo ss! Ngoja tumsikilize
  11. katesh

    Rais Kikwete afanya Mabadiliko katika Baraza la Mawaziri - Jan 19, 2014

    Kiherehere cha wabongo hiki!
  12. katesh

    LIVE Updates ya Simba na KCC Leo Tar 13/01/2014

    Hivi kocha wa simba mwenye kiherehere yupo? Ngoja aanze kuonja joto ya jiwe
  13. katesh

    LIVE Updates ya Simba na KCC Leo Tar 13/01/2014

    Dk ya ngapi mpk ss jamani?
  14. katesh

    LIVE Updates ya Simba na KCC Leo Tar 13/01/2014

    Leo. Messi hayupo?
  15. katesh

    Siasa za visasi: Rwanda yapandisha ushuru kwa magari ya mizigo yanayotokea Tanzania

    Watz tuna ushabiki wa kijinga sana hata kwenye jambo linalogusa uchumi wetu, lkn pia waandishi wa habari ni vimeo na wanatudanganya sana na habari zao zisizo na mantiki na zenye uchochezi tupu. Leo asubuhi katika kituo cha ITV alihojiwa suala la kuongezwa kwa tozo ya dola 500,kumbe issue hii ni...
  16. katesh

    PICHA: Henry Kilewo akiwa ndani ya pingu na vijana wengine kwa tuhuma za ugaidi

    Joyce kiria umemuona mume wako gaidi? Usijiweke kwenye vyombo vya habari kutafuta wanaume. Mfuate gerezani Tabora.
  17. katesh

    Chuki dhidi ya wachaga zimefikia pabaya sana. Wenye husda, wapi mmedhulumiwa?

    Wachaga ni balaa hata useme nn! Ni wakabila, mafisadi, wadini, wabinafsi, waroho, wapenda sifa, wezi n.k. Kwahy hapa sio suala la ccm bana, tunaishi nao mtaani tunawajua. Wanavikao vyao vya siri usiku kuhujumu wafanyabiashara wenzao. Huo ndio ukweli haupungiki.
Back
Top Bottom