Search results

  1. M

    Wafanyakazi 200 vijana wastaafishwa kinyume cha sheria

    Naskia jamaa wameacha staff wanaowalipa 270,000/ tu. Hapo wateja wa Airtel wategemee huduma mbovu sana. Unategemea kwa mshahara huo watafanya kazi kwa moyo? Yaani hii Ison/ Spanco ni kizunguzungu tu.
  2. M

    Kwa waliosoma Forodhani shule ya msingi

    OMG... Yaani nilishasahau kama Norma alifariki, na nilikuwa naye Kisutu. Wito sikua na hakika sana ila nadhani nitakua nilipaya taarifa. Ni muda mrefu sana umepita jamani, 26 years si miaka michache. May their soul RIP.
  3. M

    Kwa waliosoma Forodhani shule ya msingi

    Huyo atakuwa ni Abunuwas Msusa, ila sikumbuki kama alikuwa kaka mkuu. Ngao alifariki miaka zaidi ya 5 iliyopita. Alifia muhimbili, alikuwa na tatizo la nyama zimeota puani, akawa afanyiwe operation. Huwezi amini alienda mwenyewe , akiwa ana drive gari yake, akapack na kuingia hosp. Bahati mbaya...
  4. M

    Kwa waliosoma Forodhani shule ya msingi

    Mna kumbukumbu nzuri sana. Mimi nilimaliza std 7A hapo mwaka 1988. Ngoja nione km nami nitakumbuka japo wachache. Tulikuwa na Uno Tarimo (RIP) Lenguyana leandri, Albogast Njuu, Ngao Sambera (RIP) Laurian Thadeus , Irene Noa, Tina Riwa, John Riwa, Esuvat Molel na twin wake Nengai (B), Hilda...
  5. M

    Mara clara vs second chance

    Mara Clarah ni tamthilia nzuri sana, kwakweli star tv wanajitahidi sana, tamthilia zao huwa ni nzuri sana na ni fupi , sio kama wengine. ITV wana bore maana wanaonyesha tamthilia ndeefu na bado wanazirudia. Mfano Acabulco bay, hii ilirudiwa kama sikosei ni mara 2. Hapana chezeya Gary mzee wa...
  6. M

    Tahadhari: Usalama wa Magari Quality Centre shopping Mall Dar

    Unachosema naweza kusema ni kweli, last 2 weeks walimuibia mama mmjoja na anafanya kazi hapo na kila siku ana paki hapo. walinzi wale ni wajinga maana wakikuona unapaki gari wanakuja na salam kibao huku wanaangalia kilichomo then wanawapigia hao wezi.
  7. M

    Yupo wapi huyu Bilionea wa kiarusha, Elisante?

    Kwakweli hii ajali iliumiza miyo ya watu mno. . Watoto wa watu wakafariki yeye anaendelea kudunda. R.I.P Linda and Suzy.
  8. M

    Star Time hamtutendei haki.

    Inakera zaidi pale unapangalia kitu / habari nzuri mara ina stuck.......utasubiri hapo na ikirudi ule uhondo umeshapita. Yaani ni balaa. Nimemulizia mtu wa hapo kwao anadai ninunue antenna ya nje coz mm natumia antenna ndogo ya ndani.
  9. M

    Wanaume na ndoa za dada zetu

    Mito yuko sahihi, Rafiki yangu wakaribu alikuwa anateswa na mumewe sana,na kipigo juu. Kaka zake waliumia sn coz wao wanapenda wake zao na wanajiweza na kuwajali,kwanini mdogo wao apate shida, wakamtumia ticket arudi bongo, akapewa nyumba ya kuishi, gari na mtoto wake wakampeleka shule.Good...
  10. M

    Usagaji Twiga Stars?

    Ninacheweza kusema ni hiki "" Hawajapata wa kuwakoleza hao, mwanamke aliyekamilika, akawa na nyege zake, akapata mkunaji haswa, akamkamua vya kutosha na AKAKOJOA"" ......huwezi kumsikia anafanya hayo mambo . Muhogo una raha yake jamani , narudia tena hao wanaohangaika kusagana.. hawajui utamu wa...
  11. M

    Hakuna malipo ya NSSF, PPF hadi umri wa kustaafu ufike!

    Kama itapita hakika itakuwa kilio kwa wafanyakazi wengi; Kwa maisha ya sasa yalivyo na ugumu wa kila hali; magonjwa ya kila aina , BP, kisukari, HIV/AIDS , TB , malaria etc. Bado wanategemea watu tufike 55- 60yrs old. ..............Eeh Mungu tusaidie waja wako.
  12. M

    sijui wewe ungependa uwe nani.........?

    gfsonwin, thanks kwa kunikumbuka kwenye baraza lako. Wala hujakosea, hiyo nafasi ya MAMA USHAURI naamini inanifaa kabisaa, kwa umri wangu na ma experience .......aah ahahaha . Naamini tutapeana ma ushauri pale panapohitajika. Idumu JF
  13. M

    Tofauti ya umri katika mahusiano na kwa wanandoa (mume na mke)

    Najaribu ku imagine mkiwa kitandani anakuwaje maana from my experience huyo bado mdogo sana kimapenzi, at that age hata sijui kama ""kanakojoa"" sanasana atakuwa anakuibia tu kulia uongo maana watoto wa siku hizi ni balaa.Huo umri badoo saana na kama anafika ""kanakojoa"" ni kwa nadraaa saaana...
  14. M

    Maisha ya usingle mother je, how do I cope?

    Dear Noella, pole sana kwa yaliyokukuta. Ninachoweza kusema ni kuwa mshukuru Mungu kwa hayo maisha unayoishi sasa, Mshukuru Mungu kwakuwa amekupa mtoto ambaye ni faraja tosha katika maisha yako. Ungeweza kuwa kwenye hiyo ndoa/mahusiano na vipi kama ungekuwa huna amani?? Nina imani kuwa...
  15. M

    Uwepo wa taarifa za kutisha juu ya mbunge hilda ngoye.

    Hiyo habari iwe kweli au si kweli Kitendo cha kumfungia mlemavu ndani ni kitendo cha kikatili; mtoto mlemavu ana haki kama watoto wengine. Haijalishi ana ulemavu wa aina gani.Uwe wa ngozi, uoni, kusikia au hata wa viongo, kuna shule kwa ajili yao. Walaaniwe wote wanaowaficha watoto walemavu...
  16. M

    Halima Mdee amtafutia Lulu wakili

    Wakati Lulu anafanya mambo ya kikubwa, aliachiwa kwamba ni mkubwa, na mwenyew alikiri EATV kuwa she is 18 yrs old. Sasa leo amepata na mabalaa ndipo umri unapokanwa na kuonekana mtoto.Halima, kama kweli unataka kumsaidia huyu binti, fanya hivyo hakuna anayekuzuia ila sio ufanye kwa kujitangaza...
  17. M

    Kifo cha Steven Kanumba na hatma ya Elizabeth Michael (Lulu)

    Huyu mzee amekurupuka sana , tena ana sisitiza kuwa mwanae ana miaka 16 ila on 17th April ndo atatimiza 17. Yote haya ni matatizo ya kuwaachia kina mama walee watoto peke yao, mwenyewe amesema alizaa na mamake Lulu ila hawakuwahi kuishi pamoja. Kwani hata kama hawakuishi pamoja, si angekuwa...
  18. M

    Husna posh:mamaa dothnata-namba 1 kwa utajiri.

    Mbona kazi yake ya ukoboaji haujaitaja? Huyu mama ni mkoboaji mzuri sana, mabinti wenye tamaa ya hela mbona wanakoma mwaka huu.
  19. M

    Ajali za mabasi Tanzania yazua gumzo Canada!

    Mbali na hayo yote yaliyochangiwa, pia tunapashwa kujikabidhi mikononi mwa Mungu kila tunapoanza safari zetu. Tukumbuke pia kuna mambo mengi sana njiani mbali na yaliyo yanasababisha ajali pia. Nakubali madereva wengi ni wazembe na walevi ila si vibaya pia kila mtu akawa anamwomba Mungu kwa...
  20. M

    Wema afanya shopping ya dollar 40,000

    Hawana lolote hawa, kwa kuangalia tu utagundua ujumbe unaelekezwa kwa Diamond. Ni utoto tu wakikua wataacha !!
Back
Top Bottom