Search results

  1. African American

    Yanayojiri Bungeni Dodoma: Jumamosi, Tarehe 12 Aprili 2014 - Uwasilishaji wa Taarifa za Kamati

    TBC impelekwe mahakamani tuache maneno matupu! Haivumiliki, too much!
  2. African American

    Yanayojiri Bungeni Dodoma: Jumamosi, Tarehe 12 Aprili 2014 - Uwasilishaji wa Taarifa za Kamati

    TBC wamefanya upuuzi usiovumilika! Ni kuwanyima watanzania haki yao.
  3. African American

    Why women do cheat

    According to Robert Wright, these reasons why some women cheat; 1. Resource extraction- getting things from multiple partners increases resource security. 2. Dilemma of off springs- Mating with multiple partners leaves each male with the impression that he might be the father of a...
  4. African American

    Vijana tusitumike kueneza udini

    Vipi wakigoma kuachia
  5. African American

    Vijana tusitumike kueneza udini

    umemaliza kila kitu
  6. African American

    Tamko la Vijana wa Vyuo Vikuu kuelekea uchaguzi Mkuu 2015

    Tahliso walikanusha nini mbona hawakutajwa
  7. African American

    Ungechagua kipi?

    Kusingekuwa na nyumba ndogo
  8. African American

    Ungechagua kipi?

    nimefuatilia michango mbalimbali humu JF, wengi wakionekena kukubali nafasi ya pesa/mali katika mapenzi ya siku hizi. Je, niwaulize ninyi wanawake hasa ambao hamjaolewa, ungechague kipi kati ya kuolewa na mwanaume tajiri mke wa pili au kuolewa na asiye na mali kama the only dear wife wake?
  9. African American

    Kwanini rais wa Muungano hafanyi ziara ya kikazi Zanzibar?

    Ndege hii ni ya serikali ya muungano?
  10. African American

    Simpendi hata kidogo

    Guys! Trust me, huyu binti anampenda sana jamaa ila kaachwa. Hapa anajaribu kujenga psychological denial kujipunguzia maumivu asahau. She's too frustrasted to be conscious of herself!
  11. African American

    Simpendi hata kidogo

    Unaonekana bado mdogo au jamaa hajiamini. Naomba girlfriend wangu asiwe hivyo, sitakuwa na muda wa kupoteza kwenye maisha.
  12. African American

    Kwanini rais wa Muungano hafanyi ziara ya kikazi Zanzibar?

    Sidhani kama hiyo ni ziara rasmi ya kikazi. Ni sawa na anavyoendaga serengeti kupumzika na kuzungumza na marafiki.
  13. African American

    Kwanini rais wa Muungano hafanyi ziara ya kikazi Zanzibar?

    Wandugu, Ni miaka nane sasa tangu mkulu wetu aingie pale magogoni lakini sijawahi kusikia akiwa na ziara ya kikazi Zanzibar kama anavyotembelea mikoa mbalimbali Tanzania bara mfano juzi alikuwa Kagera. Ukiacha ziara za kampeni, kwenda kwenye sherehe za mapinduzi, ina maana Zanzibar hakuna...
  14. African American

    Racism against Obama

  15. African American

    Msaada:huyu ni ngowi wa uchagani ama wa kumwitu??

    Usisahau pia kwamba kuna matajiri na wanaotangazwa kuwa matajiri!
  16. African American

    Mwanafunzi afia kambini JKT Tabora

    Hapa kinachozungumziwa mategemeo sio unafuu wa janga. Mtoto ni mtoto kwa mzazi.
  17. African American

    Mwanafunzi afia kambini JKT Tabora

    Wazazi wengi wana wasiwasi na JKT hasa kwa watoto wa kike. Kama hali ikiendelea watoto kupoteza maisha nina mashaka kama huu mpango utaendelea.
  18. African American

    Dada zangu wa kichaga jisafisheni kimapenzi maana sehemu kubwa ya jamii inawaogopa kimapenzi

    Umeandika kishabiki mpaka unakera. Binafsi nina rafiki yangu wa kichaga ambaye Mungu akitujalia nitamuoa. Nitamuoa si kwa kuwa ni mchaga la hasha, ni kwa sababu ninaamini huyo ndiye niliyepangiwa na Mungu. Kwangu mwanamke ni mwanamke bila kujali kabila, utaifa au rangi japo kuna tofauti za...
  19. African American

    Prime minister wa Zanzibar akihutbia UN Dec 1963

    Huyo bwana wenu sultani hatarudi kamwe! hata muungano ukivunjika hatarud, bora Tanganyika iitawale pemba kwa nguvu kuliko mwarabu kurudisha usultani wake!
  20. African American

    Star Times inaiuhujumu ITV,STAR TV na ETV..

    TBC yenyewe aibu tupu! Wamemganda Rahel kwenye kipindi cha nyumba ya jirani mpaka akaanza kuona aibu. Hivi hawa kwa nini hawajirekebishi? Ovyo kabisa
Back
Top Bottom