nimeongea na mzazi mmoja mwenye mtt pale Hazina, anachoshangaa na kujiulizaa mbn wanajitahid sana kufundisha watt wao? sasa kwa nn na sasa wanaiba mitihani kwa lipi hasa?
ameniahidi hiyo tar 10/10 atafika mahakamani kujua ushahid wa serikali maana ni habari zilizomchanganya sana. ila anamwomba...
kwann naibu mkurugenzi ndio amwondoe na asiondolewe na mkurugenzi mkuu?
kinachosumbua TANESCO NI VYEO VINGI kwa msingi wa kazi ileile. wangepunguza mlolongo wa kutoa au kupeleka taarifa maaana unakua urasimu na mwanya wa rushwa na ucheleweshaji wa mambo kwenda kwa haraka. ingelikua ni mwendo wa...
channel ten waandish wake au mhariri mkuu nadhani upeo wake ndipo umeishia hapo. maana haibadiliki na kwenda na wakati.
1. taarifa ya habari ipo muda mzuri saa 1 usiku lkn wanaivuta mpk saa 2 usiku, suppose 30mins
2. kipindi cha asubuhi kinaanza saa 12 asub mpk siku nyingine 12.45. suppose...
hata mchambuzi wa masuala fulani flani wawe(AZAM TV) wanachagua mtu neutral, ndio atakayesema ukweli. kuna wachambuzi hawaonagi positive about Govt though hawana chama.
YAANI ndio maana wasomi wetu wanajiabisha wenyewe sasa hv kila chuo KINATOA bACHELOR its not proper, hata kama lengo letu ni kuongeza idadi ya wasomi tungeacha ngazi zifuatwe. maana certificate wanahitajika,diploma wanahitajika. Mwl Nyerere degree, NIT degree, magogoni Degree,CBE Degree...
si takwimu ya kweli kabisa, kwa research yangu isiyo rasmi Wakenya wenyewe wanatukubali waTz kwa ukarimu ila ttz ni waTz hatujitangazi!! ?? tunawaachia viongozi wachache na wazalendo kadhaa hii ni kwa kila mTz anapokua nje ya nchi ni jukumu lake la kwanza kuiweka Tz mbele na hata pia tunapokua...
haaaa, mumiani!! kweli Makao makuu yahamie Dom yanaweza kusambaza maendeleo TZ NZIMA. maana hawa watu wa mikoani hawali vizuri kwa viiman vya ajabu ajabu
hawana haja ya kuambiwa ni moja ya kazi yao ya msingi kabisa, wasikubali mtu kutumia vyeti vyao
kama miaka yote walilala au mpk Raisi aseme, HAPANA waamke sasa wafuatilie
i am confused tangu nipate habari ya pili kua SCORPION si mtu mbaya kama nilivyodhania mwanzoni. na hii nimeambiwa na wafanyakazi wenzangu wawili wanaokaa Buguruni. ni kwamba wezi Bugurun umepungua kwa sbb ya harakati za Scorpion kuwadhibiti. Ni kweli adhabu kwa Side ilipitiliza tunaomba taasisi...
du! dunia ya leo watu wanaishi miaka 80 nyuma? atuulize sisi tuliye oa. ningemwambia hivi mtt wa kike ni zawad ya kipekee. atakua rafiki yako, atakujali mpk siku ya mwisho wa uhai baina yenu. watt ni kuwalea vizuri tu na si kuwabagua. ASANTE MMUNGU kwa kunipa mtt wa kwanza wa kike.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.