Nilimsoma kwanza Kitila kama hivi....
Wakaja waungwana wengine kama hivi.....sasa ni wewe Ibilisi
Ila sasa naona mapokeo ya wakereketwa ni vile vile. Naanza kuwaamini wale wasemao kuwa kabla ya kukuangamiza Mwenyezi Mungu hutuma waja wake kwanza kukupa fursa ya angalizo na kujirekebisha na...
Ila kwa hili Kagame amewatega vibaya maana msingi mkuu wa hiyo demokrasia ya magharibi ni maamuzi ya watu(katika wingi wao) na Kagame ili kuongeza presidential term akarudisha wazo zima kwa wananchi ili watoe uamuzi nao kwa wingi wao wakasema NDIYO.
Bad enough katika hii demokrasia...
Wakati mwingine huwa nawajibika kumfikiria zaidi mzungumzaji wa jambo kuliko jambo lenyewe linalozungumzwa, uzuri huwezi kumzuia mtu kuzungumza ila kwa hakika unaweza kuamua kuchagua kuyapuuza anayoyazungumza na maisha yakasonga mbele tu tena kwa speed ya kimondo.
Well said Lole Gwakisa
Wengine tunasubiria kwa hamu kuifahamu hii syndicate....natumai ipo siku kuna an individual kutoka within(kwangu mimi JK ndiye perfect) aje atuandikie kitabu ili tupate an insight toka early 1990's throughout 2015.
Ndugu yangu Mchambuzi
Umefanya uchambuzi mzuri ila kiasi fulani natofautiana nawe maana wakati mwingine ni vema tuwe na cost-benefit analysis. Bora mawaziri ama mawaziri bora??? Kwangu mie naona kujipa muda wa kutosha kutafakari malengo kwa kina na mahitaji ya nyakati ni jambo bora zaidi kabla...
Kwa taratibu za JMT yeyote anayeshitakiwa kwa makosa ya mauaji ni lazima awe na wakili wake wa kumtetea mahakamani(mara nyingi huwekwa na Jamhuri lakini pia huzuiwi kuwa na wako binafsi) hivyo kwa yaliyotokea sidhani kama hao washtakiwa walikuwa katika hali ya sintofahamu na kukosa mtetezi wa...
Hili linamjengea shaka mkopeshaji yeyote. Inaonekana binafsi unakosa mipango/mikakati madhubuti na kuisimamia.
Umejipanga vipi kukabiliana na hayo matatizo siku za mbeleni? Ikiwa ni pamoja na kuhakikisha unalipa deni kwa wakati? Maana kamwe matatizo huwa hayaishi na kumbuka mkopeshaji...
Just simple MTAZAMO,,,,haya mambo ya kuzoea kuishi kwa ghiriba tu, cheap politics. Now everything starts to translate itself as we're heading the D-day.
Haya yanapita kwa kasi na hii silly season!!!!!
This is an insult,,,,Nyerere kamwe hawezi kulinganishwa na hawa uliowataja hapo. Unless utuletee wakina Hamza Mwapachu ama Oscar Kambona ama Dossa Aziz...hawa wa level hii ndugu.
Halafu yule mzee angelikuwa hai sijui fate ya "mtu wetu huyu" ingelikuwaje by now!!!!!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.