Search results

  1. Bwemero L

    Madaktari bingwa Muhimbili Watangaza mgomo rasmi

    Waziri mkuu alisema katika madai kumi wametimiza matano, sasa mbona rais amaezungumzia suala la mishahara tu!!! Sio busara kumuita rais ni muongo lakini hajasema ukweli kuhusu suala la madaktari. Nadhani tukimuita dhaifu ni neno sahihi zaidi.
  2. Bwemero L

    Kurugenzi ya Mawasiliano Ikulu imeshindwa kazi; yatumika kumhujumu Rais Kikwete

    Wahenga walisema "chema chajiuza, kibaya chajitembeza" sasa kama hata kujitembeza mmeshindwa tutegemee nini??? Haya ma-hotuba yote ni kujikosha kwa mambo ambayo hayatusaidii sisi maskini, poleni sana mliokesha!!!!
  3. Bwemero L

    Watanzania tutakuwa omba omba hadi lini?

    Nimekuwa nikifuatilia bajeti ya serikali yangu kwa zaidi ya miaka 15 sasa, na kwa muda wote huo sijawahi kusikia bajeti ya Tanzania isiyo na pesa za misaada na mikopo kutoka kwa wahisani. Nawauliza wana JF (Great thinkers) 1. Inamaana bila misaada Tanzania haiwezi kuwepo? 2. Watanzania zaidi ya...
  4. Bwemero L

    Jamii Forum, Hakunaga..!

    thanks, nimefanikiwa!!!!
  5. Bwemero L

    Jamii Forum, Hakunaga..!

    Please if Gwangambo, can you assist me how to post my topic in JF, I can see that you are on line!!
  6. Bwemero L

    NI nani huyu anayepandikiza chuki dhidi ya serikali?

    Wapo wana ccm wanaoipenda Tanzania na wanaimani kuwa vyama vya upinzani vikiingia haviwezi kubadilisha chochote, lakini kwa mfumo waliouweka wa kuwa na viongozi kibao wanaofanya kazi moja (eg DC, DAS, DED, na TD) katika wilaya moja, hata wafanyeje hakutakuwa na mabadiliko kwa kutumia mfumo...
  7. Bwemero L

    NI nani huyu anayepandikiza chuki dhidi ya serikali?

    Chuki inaletwa na ugumu wa maisha, chukulia mfano mdogo tu wa familia yako, baba anawalisha ugali wa "yanga" na kila siku alafu unamkuta baa anakunywa bia na nyama choma akiwa na machangudoa, je hautamchukia baba yako? kama ni umaskini basi wote tuwe maskini (tule ugali wa yanga). Sasa wenzetu...
  8. Bwemero L

    NI nani huyu anayepandikiza chuki dhidi ya serikali?

    Bwana Macos, umenisikitisha sana kupost vitu vya kidini, hivi nyie watu mtabadilika lini? Nakushauri umuombe sana Mungu wako akuondolee hii dhambi ya ubaguzi. Sisi wote ni watanzania, tumekuja hapa duniani bila kitu chochote na tutaondoka hivyo hivyo. Tumia muda wako mwingi kufikiria namna ya...
  9. Bwemero L

    Changia Mawazo kuboresha mchango wangu bajeti ya ofisi ya Waziri Mkuu!

    Dr. mimi siipendi ccm, ila kwa hili nakupongeza. Nikiwa kama mtumishi wa serikali nimegundua mambo makubwa matatu yanayofanya budget yeti isitekelezeke. 1. Budget inayopitishwa hailetwi kama ilivyopangwa. Kwa mfano unakuta mpaka mwisho wa mwaka wa fedha ni asilimia 52% tu imeletwa na sehemu...
  10. Bwemero L

    Kwanini Nyerere hakuendeleza kusini kwa miaka mingi?

    Dhambi ya ubaguzi ni sawa na kula nyama ya mtu, ukishakula huachi. Bwana Insergent, nakuhakikishia kama utafanikiwa na sera zako za udini ujuwe wazi kuwa ukristu na uislamu unauongea kwa sabb ukristu upo. Siku ukristu ukiondoka utagundua kuwa hata kwenye uislamu hauko salama, kuna dini nyingi za...
  11. Bwemero L

    Ujumbe Kwa CloudsFM na Gerald Hando

    Mengine sijui lakini kwa hili alilosema asubuhi nadhani mtoa post hajamtendea haki. Nasema hivyo kwa sabb nimemsikia vizuri Gerad na msingi wa hoja yake ilikuwa kwa wabunge na mawaziri wa ccm kumchangia pesa mwiguru kwa matusi aliyochangia juzi. Then alijaribu kuonesha kuwa sio vyema wabunge...
  12. Bwemero L

    Mbowe aungana na Mnyika kusema serikali ya Kikwete dhaifu

    Mnyika amenisaidia kupata jibu la swali nililokuwa najiuliza siku nyingi kuwa "kwa nini wabunge wa ccm wakati wa kuchangia wanaponda bageti lakini mwisho wa maelezo wanasema naunga mkono hoja" kumbe wakiikataa bunge linavunjwa!!! alafu inabidi wakawaonge wananchi ili kurudi mjengoni tena...
  13. Bwemero L

    Mnyika huwezi vita binafsi na Kikwete

    To be honest, i can't see the presidence in this president!!!! Mnyika yuko sahihi.
  14. Bwemero L

    Namtaka mke wa kakangu kimapenzi nifanyeje

    Ningekuwa na ujasiri ningekuita "mpumbavu". Huyo ni shetani na nakuhakikishia hatakuacha hadi utakapotimiza ndoto zako. Ngoja nikupe story hii ya Yuda Iskariot aliyemsaliti Yesu. Yuda aliomba ushauri kwa shetani, akamuuliza "nifanyeje, hawa mafarisayo na makuhani wameniahidi pesa nyingi...
  15. Bwemero L

    Amini usiamini, CCM ina jukumu la kutupatia Rais bora mwaka 2015...

    Tumia muda wako kuwaelewa hao unaowatetea. Naamini unayoyaandika hayaendani na jina lako, jitafakari upya!!!!
  16. Bwemero L

    Tatizo kwenye ndoa yangu naomba msaada

    Nina ushuhuda wa ndoa ambayo mme alikuwa mkorofi, mlevi, malaya zaidi hata ya huyo mme wako, na mimi niliona hayo kwa macho yangu, nilimuombea huyo mwanaume na ndoa yake kwa muda wa miaka minne mwisho nikachoka, nikamwambia Mungu, hapo nilipofika nimechoka mapenzi yako yatimizwe. Lakini cha...
  17. Bwemero L

    Tatizo kwenye ndoa yangu naomba msaada

    Mimi ni mwanaume na nimeoa, ni mkristu ninaeamini ndoa ya mke mmoja na mme mmoja mpaka kufa lakini kwa hilo nakushauri achana nae. Ila kabla hujamuacha fanya maombi ya kutosha, funga novena usali hata kwa mwaka mmoja huku ukimwacha aendelee na mambo yake, wala usimuulize kuhusu hao malaya wake...
  18. Bwemero L

    CCM nao kufanya Mkutano Jangwani jijini Dar Jumamosi hii 09-June-2012.....

    Nakaribisha sara ya kulaani magamba yote wataohudhulia mkutano huo!!!!! Huku wakijua fika kuwa wanaenda kuwasikiliza mafisadi wa kodi zetu, wala rushwa (eg mbunge wa nyinyiemu aliyekamatwa na pcb kwa rushwa juzi + others)
  19. Bwemero L

    CHADEMA yawa gumzo Marekani, vua gamba vaa gwanda!!

    maji hayafundishwi njia ya karibu kufika mtoni, magamba wakichekelewa kuisoma namba watakuja kuulizana 2015.
Back
Top Bottom