Search results

  1. M

    Tatizo ni bodi ya mikopo au vyuo?

    komaen achen uwoga,mbona sua huwa hawaandaman lakin pesa yao inaingia mapema
  2. M

    which is the best university in tz?

    mm nazan chagua SUA,MZUMBE,UDSM hapo utapata digrii ya maana inayotambulika hata nje ya nchi hasa SUA &udsm viko rank za juu kimataifa
  3. M

    Udom kwa mtindo huu mtafukuza wengi

    polen sana udom ss SUA tumeanza kusain leo
  4. M

    Kwanini bodi ya mikopo wamechelewesha pesa za special facaulty nasp sua

    Bodi ya mikopo kuchelewesha pesa za vitivo kinyume na mkataba kwani pesa hizo ziliitajika mwanzoni mwa s emister ili zifanye kaz yake lakini bodi bado hataki kutoa cheque hii imesababisha wanafunz weng kusoma katika mazingira magumu hivyo tunaomba hsleb wafanye hima kabla hakijanuka sabab...
  5. M

    For only sua students

    Asante kwa kutupa moyo wa ujasiri pamo1 sana
  6. M

    Wanafunzi wambaka Mwl. kwa zamu..

    Taifa tunalipoteza ss wenyewe kwani walimu wengi hawajiheshimu katika mavazi waingiapo darasani hasa wa kike,
  7. M

    Hatua ya necta kufuta mitihani

    Tatizo liko kwao watendaji waserikali kwani huwezi kupata mtihani bila kumconsult mtu husika hivyo serikali na necta wajitazame upya na inapotokea udanganyifu katika mitihan inabid mtahiniwa atafutwe na kuhojiwa majibu au hiyo mitihan aliipata wapi,hii itasaidia kuwapata wanaovujisha mitihan
  8. M

    Kwa mtindo huu tuna safari ndefu sana kwenye elimu

    kweli kaka hali inatisha coz wanafunz wengi form4 wanafeli kutokana na mssingi mbovu waliotoka na primary,ukizingatia na shule za kata zilivyo tafta hizo habari ili na ss wana jf tuzipate
Back
Top Bottom