Search results

  1. D

    Chadema tupeni mikakati ya utawala 2015

    CDM na mambo hayo wapi kwa wapi!!!January to Desemba wanaongelewa watu tu.
  2. D

    Elections 2010 Dr. Slaa: CCM imebanwa Igunga; yajipanga kuchakachua kura

    Ukiona mtu analalamika kuwa amegundua njama za kibiwa kura ujue anaandaa kisingizio cha kufanya fujo matokeo yatakapotangazwa na kujikuta amegalagazwa. Haiingii akilini mtu umegundua njama na unajua wizi unavyofanyika then usubiri hadi uibiwe ndiyo utoe visingizio!
  3. D

    Elections 2010 Dr. Slaa: CCM imebanwa Igunga; yajipanga kuchakachua kura

    Ukiona mtu anaanza kuota kuibiwa ujue hayo ni maandalizi ya kufanya fujo watakaposhindwa waseme si tulisema wataiba kura?. Haiingii akilini umegundua njama, unajua njia zinazotumika kuoba, umeweka mawakala kila kona, kura zinahesabiwa vituoni mbele ya mawakala wa vyama vyote na tena umetangaza...
  4. D

    Wanafunzi watanzania wanyimwa vyeti vyao-urusi

    Si kweli watoto wa vigogo wanasoma urusi.....mimi ni mmoja wa watoto masikini niliyesoma huko tena kwa private sponsorship....watoto wa matajiri wanapelekwa Marekani na Uingereza.......issue hapa ni serikali haijapeleka hela....i feel bad najua jamii watakuwa wanateseka sana
  5. D

    Mbowe ashikiliwa Central Police

    Nimeamini kweli wanasiasa wanafiki!, hawa kila siku wanalalamika sheria inatekelezwa kwa walala hoi wakubwa wanaachwa. Leo amekamatwa kiongozi wa kisiasa kelele nyingi, walalahoi wangapi wako rumande tena wengine bila kosa hamtetei?, Sheria ni smumeno
  6. D

    Hata akijipendekeza, Nape Nnauye haukubaliki

    Yeah Great Thinkers......wakijadili hoja
  7. D

    Dk. Slaa: Si uhaini kumng'oa rais Kikwete kabla ya 2015

    Hatukatai rais anaweza kuondolewa na bunge lakini kwa maandamano na uchochezi kama unaofanyika ni KINYUME CHA KATIBA
  8. D

    Ujio wa CHADEMA Iringa: Tafsiri Yangu

    Mwandishi wa Habari Samson Chacha , ametishiwa Maisha na wafuasi wa Chama Cha Demkorasia na Maendeleo Chadema Wilayani Tarime , kwa kile walichodai kuwa asingepaswa kutangaza kuhusu Kushambuliwa kwa Mawe kwa Mbunge wao Godbles Lema kutoka Arusha katika mji mdogo wa Sirari wakati...
  9. D

    Tupende, tusipende: Tanzania inanyemelewa na udini!

    Anayebeza TZ hakuna udini ni pretender tu, udini upo kwenye sekta nyingi tu....ni jambo ambalo halijionyeshi wazi lakini lipo hata wanaobeza thadhari anayotoa JK wanashangaza labda kwao udini mpaka watu waanze kuchinjana. Ni heri wanaotoa tahadhari ili tusifike babaya kuliko wanaopinga ili mradi...
Back
Top Bottom