Search results

  1. S

    Kizaazaa kwenye basi baada ya kijana 'kumchafua' dada kwenye basi la mwendokasi

    Aiseee umenivunja mbavu apa...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
  2. S

    Nimepigwa chabo na mama mwenye nyumba leo asubuhi

    Umeona apo @ Evelyn..., iyo ni taarifa ambayo hawezi kuitoa...angeweka mambo wazi tu watu wazima wakamuelewa...! Under normal circumstance asingeona aibu kama angekua na dushelele la ukweli..!
  3. S

    Nimepigwa chabo na mama mwenye nyumba leo asubuhi

    Hahahaaaa....kaka unaua...!
  4. S

    PICHA: Mafuriko Maeneo mbalimbali jijjini Dar

    Mwembe mdogo Kigamboni
  5. S

    Mvua inyeshe lakini sio Dar es salaam

    Kigamboni pia inamwagika si mchezo alaf kwny apps za weather forecasts it seems ngoma ni adi kesho jioni au mchana continuous....
  6. S

    Wivu wa Mapenzi: Akatwa kichwa na kisha kuchemshwa katika sufuria kwa kudaiwa kupora mke wa mtu!

    Ila nadhani hii kitu ni rahisi kuifatilia.....Apo unadeal na uyo Shija tu...kila kitu kitajulikana tu...ao jamaa wote watajulikana labda wahame nchi...
  7. S

    Strategis Insurance acheni uhuni

    Dah...poleni sana kwa usumbufu kwa watu wa STRATEGIS....vipi AAR kwa wanaoitumia na huduma zao? nataka kwenda huko....
  8. S

    Rais Kikwete awaombe radhi Wanyarwanda

    Ukingalia kwa makini huo mtiririko wa matukio utakuja kuona hakukua na sababu ya Msingi kwa Raisi Kikwete kuongelea suala hili kwenye ule mkutano kama kweli nia yake ya dhati ni uondoaji wa tofauti ya serikali ya Rwanda na FDRL kwa njia ya mazungumzo! Mie naona angetumia principle hiyo hiyo...
  9. S

    Waraka: Serikali yatangaza kima cha chini mishahara ya kisekta

    Madaktari wameongezwaje mkuu? Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
  10. S

    Hivi kati ya mwanaume na mwanamke nani anaenjoy sana game?

    Hello wana jamvi. Nimekua nikijiuliza sana ili swali lakini leo nimeona nipate ushauri kutoka kwa wadau. Kwa mtazamo wangu mie nilidhani wanaume ndo wanaenjoy sana game coz orgasm kwao ni guaranteed, but napata mkanganyiko coz wakati wa game utakuta wanawake ndo wanaonekana wanaenjoy sana kiasi...
Back
Top Bottom