Search results

  1. MAKOLE

    Ushauri: Taasisi ya misaada ya kielimu

    HABARI WAPENDWA: NAOMBA USHAURI JUU YA SUALA LIFUATALO: Taaluma yangu imeniwezesha kukutana na wanafunzi wa ngazi mbalimbali wenye ndoto na nafasi za kusoma/kuendelea na elimu ila kutokana na changamoto za kifamilia na kipato cha wazazi wanalazimika kutafuta misaada. Binafsi nimefanikiwa...
  2. MAKOLE

    Ugonjwa wa ngozi

    samahani, ngozi yangu inaukavu na kukunjamana huku kuna vipele vidogo dogo sana na vinawasha. Ushauri tafadhali
  3. MAKOLE

    Wataalamu wa lishe naomba ushauri

    Habari, Naomba msaada kwa yeyote anayefahamu masuala ya Lishe. Nina tatizo kwa baadhi ya vyakula vinanisumbua mno hasa mboga za majani. Nikila naendesha mno. Msaada tafadhali
  4. MAKOLE

    Uchaguzi 2020 Pascal Mayalla atangaza nia kugombea Ubunge

    Nimetazama kipindi cha "jicho letu ndani ya habari" Star TV leo na kwa kweli imenisikitisha maana kila Jumamosi ni lazima nichelewe kutoka home nitazame mijadala iliyokomaa ya PM. nimeanza kukufuatilia tokea kipindi cha Kiti Moto ITV hadi sasa, Nimepoteza hamu ya kufatilia vyombo vingi vya...
  5. MAKOLE

    Tatizo la mwili kupasua kwa watu wazima

    Habari Madaktari/ wataalamu wa afya na kinga. Wazee wangu wana umri wa utu uzima sasa 65-70s na wote wana shida sana ya kuumwa na miguu. Mzazi wa kiume anashida pia ya magonjwa ya moyo na pia ni mtumiaji wa dawa kali za presha. naomba kujuzwa endapo naweza kupata dawa ama ushauri wa kuweza...
  6. MAKOLE

    Naomba kujuzwa napoweza kupata vitasa vya Sienta

    Habari, naomba kujua naweza kupata wapi vitasa vya milango ya abiria vya sienta, Natanguliza shukrani
  7. MAKOLE

    Safiri salama, safiri kwa usalama kati ya Arusha Dar via Korogwe

    Kwa kuwa ni mara ya kwanza kwa maeneo haya kutokea nadhani mamlaka husika zitachukua hatua kwa ajili ya kuepuka maafa baadae
  8. MAKOLE

    Safiri salama, safiri kwa usalama kati ya Arusha Dar via Korogwe

    Maji yanamwagika asee, ingawa bado hakuna hali mbaya sana ila ikiiga usiku wa leo kama ilivyogonga mchana kesho kutakuwa na hali ngumu
  9. MAKOLE

    Safiri salama, safiri kwa usalama kati ya Arusha Dar via Korogwe

    Nipongeze idara ya hali ya hewa kwa kazi kubwa wanayoifanya, Kwa hali ya hewa ilivyo kwa hapa Korogwe na kulingana na uzoefu wa hivi karibuni juu ya athari za mvua zinazoendelea kunyesha, ni vema wasafiri wanaotumia barabara kuu ya Arusha Dar kupitia Korogwe wakachukua tahadhari kutokana na...
  10. MAKOLE

    Isus Seashell Series mini Laptop ina shida kwenye Keybody

    Wataalam naomba msaada wenu, Ninayo Isus mini laptop inazingua sana kwenye keyboard. Mfano unaweza kubofya kifungo cha herufi U ikakurudisha kwenye start menu. Unaweza kubofya kifungo cha herufi X kikafungua browser. Hii shida inasababishwa na nini?
  11. MAKOLE

    Ushauri kwa wanaopanga safari/ wanaosafiri kati ya Arusha-Dar

    Kweli, nimeona miili mitatu ikiwa kwenye magari tofauti tofauti. Hatari mno
  12. MAKOLE

    Ushauri kwa wanaopanga safari/ wanaosafiri kati ya Arusha-Dar

    Kutokana na mvua kubwa inayoendelea kunyesha, kumekuwa na mkwamo wa safari haswa kuanzia Korogwe Mjini ambapo leo 26/10/2019 barabara hiyo imefungwa na kusababisha usumbufu mkubwa kwa wanaosafirisha huduma, bidhaa na watu. Hii ni kutokana na kipande cha barabara ya Segera-Korogwe kuwa na maeneo...
  13. MAKOLE

    1ST YEAR MZUMBE UNIVERSIT- MBEYA CAMPUS

    Samahani naomba ama mwenye ndugu au anayesoma mwaka wa kwanza au miaka ya mbele anipatie mawasiliano yake nna shida nahitaji msaada. Mjomba wangu amepangiwa chuo kwa mwaka 2018/2019
  14. MAKOLE

    Maswali na Majibu: Namna ya Kupakua (Download) Movies bure

    Jamani nami naomba link ya kushusha mzigo wa 24hrs ya Jack Bauer
  15. MAKOLE

    Nondo nondo

    Wakuu kama kuna mtu ana connection na kiwanda cha nondo au anajua namna ya kununua nondo kutoka kiwandani tuwasiliane
  16. MAKOLE

    Tekno W4 IMEUA Ram

    KOROGWE TANGA
  17. MAKOLE

    Tekno W4 IMEUA Ram

    Wazee kimeo changu cha TEKNO w4 kimeua RAM. kinashindwa kuboot. nifanyeje?
  18. MAKOLE

    Kwanini viongozi na CCM wanahofu na maombi na Alhul badir kama na wao wanamtafuta asiyejulikana? Au asiyejulikana ndie?

    Kwa uelewa wangu mdogo unapotaka kusoma kiapo hiki kitakatifu lakini hatari ni lazima uwataarifu watu wote ili anayehusika ajitokeze. Madhara ya ahl Badri yanasambaa kwa vihusika na wahusika. kama mhusika x amefanya tukio hilo maana yake yeye na ahl (ndugu zake) na hata ukoo huenda ukaangamia...
  19. MAKOLE

    Magufuli afanya mabadiliko ya Wakuu wa Mikoa, Wilaya. Mulongo atemwa, Polepole ahamishiwa Ubungo..

    Ni kweli Mrisho Gambo alikuwa Korogwe Tanga, alisimamishwa kwa muda na Kikwete na Baadae alipelekwa Uvinza kama Mkuu wa Wilaya. Simtetei kwa kuwa sina maslahi nae ila nikuelimishe kitu kimoja ama viwili. Kazi ya Magufuli aifanyayo sasa ilishaanzwa na Mrisho Gambo siku nyingi, wakati CCM...
Back
Top Bottom