Search results

  1. K

    Haijawahi kutokea toka 1995, Hatimaye Lowassa apotezwa kisiasa

    hawa wote motochini lizabon hawana jipya sasa inabidi tuu kwa maana wakikaaa bila kumzumzia lowassa wanaumwa kwa kweli
  2. K

    Mikataba ya Madini inasemaje kuhusu michanga ya dhahabu?

    hivi pale UDOM wale watoto wetu ci walitwaa vilaza lakini leo wale wanaonekana wana akili sana kuliko hawa ambao wanakurupuka kaltika mahamuzi,tetehe tutakula hasara mpaka watu watachanganyikiwa kama wale samaki kwa kweli
  3. K

    Aliyekuwa Waziri Mkuu, Edward Lowassa na Upendo Peneza, wakamatwa na Polisi Geita na kuachiwa

    mabadiliko lowassa ,,lowassa mabadiliko kasi ya mabadiliko ni kubwa sasa hivi kuliko wakati wa uchaguzi mbaya zaidi mikutano ya ndani imezidi kuimarisha ukawa tupo pamoja Usiruidie kosa2020#*
  4. K

    Wapinzani waungane na Rais Magufuli tujenge nchi

    hivi kwa kweli tuunge hoja kwa vipi wakti watanzania hawana chakula tetemeko limekuwa janga kwa wana bukoba vipi lugumi au sare za polisi mbona usem au milioni kumi za mboga zaidi ya kusema kuna makaburi mengine huwezi kufukua au ndio mnalazimisha tukubali wapinzani hawaitaji uku wa mkoa au cheo...
  5. K

    Hongera Waziri Mbarawa kwa "kudhibiti" ujanja ujanja Swissport, fitna zilizidi na kuondoa ushindani

    Barafu porojo nyingi hawa NAs unawajua au ndio umetekwa pili AFS UNAWAJUA AU NDIO STORY ZA VIJIWENI umeleta huku jamvini bora ungejua ukweli kuliko kuropoka hebu tuweke ukweli Allince mpaka NAS kabla hawajanza kazi watupe wahusika wa kuu wa hii kampuni kama inawezekana tuwende pamoja kuliko...
  6. K

    Waziri Mbarawa aipa Swissport miezi miwili kabla ya kuifutia leseni!

    NAS ni nani kwa uhalisia je hao NAS wanaweza kutueleza walishawai kuwa na uzoefu wa kufanya shughuli za swissport tuwe walisisa au ,,,,,, kwa ajili.......ambao ndio wamiliki wa....... Wa kampuni hiyo mkuu arudi kwenye fomu ya madilili angalie mali za watu......kabla ya kuanza kuwataka kuwatoa...
  7. K

    Waziri Mbarawa aipa Swissport miezi miwili kabla ya kuifutia leseni!

    mwaka huu lazima tutajua ukweli mchungu
  8. K

    Waziri Mbarawa aipa Swissport miezi miwili kabla ya kuifutia leseni!

    habari njema NAS je kwanini asiweke wazi wenye share za hiyo kampuni kabla ya kwenda swissport ambayo ni kampuni inayouza shareDSE ivi kufuta lesseseni ni rahisi hivyo
  9. K

    Tujikumbushe jinsi Serikali ilivyoshughulikia tatizo la njaa kipindi Lowassa alipokuwa Waziri Mkuu

    barafuyamoyo shida matusi hayajengi kwenye ukweli lazima tusimame lowassa ndio chaguo la watanzania
  10. K

    Serikali ya mkoa wa Mtwara yakiri kuwapo upungufu mkubwa wa chakula

    tunaisoma number au tunasomeshwa number 087965432101234567890987654321 mpaka kieleweke
  11. K

    Serikali ya mkoa wa Mtwara yakiri kuwapo upungufu mkubwa wa chakula

    mtwara ni tanzania tujitoe ufahamu,, kama hivi hakuna nchi duniani inatoa chakula wakati wa njaa kila mtu atabeba msalaba wake mwisho wa kunukuuu,,,,,,,,
  12. K

    Mabasi yakosa abiria Ubungo kipindi hiki cha sikukuu

    ndio haya haya ya zika hakuna zika wakati ipo sasa ndugu unabisha nini kwenu mabasi ni mawili kwa wiki yanaenda kama bombadier kaskazini watu wananzaga mapema kwenda kusalimia sasa kampuni kama kilimanjaro kutoka mabasi saba hadi nane kwa siku leo hiii matatu au ndio maendeleo
  13. K

    Hatimaye ZIKA Tanzania ndani ya CCTV

    kuna kitu kinaniumiza sana mtu anakuambia kusema ukweli ni kosa haiwezekani dr kasema ukweli na utafiti sio wa siku moja kama twawezaa wanavyofanya haya ni maisha ya watanzania mlipuko wowote wa magonjwa lazima wanachi wajue sio kukaa na kuanza kuficha wagonjwa ndani tuweni na busara tuweke...
  14. K

    Professor Kitila Mkumbo slams Ministers Ummy and Kigwangala

    ule utafiti wa twaweza unapelekwa ikulu au wanasemaga kwa vyombo vya habari
  15. K

    Ni kweli biashara zinakufa na uchumi ni tete?

    hivi kweli wapiga dili wanaitaji kuchukua mokopo benk tuwe wazi tafakari ukipata majibu weka moyoni kwako
  16. K

    Kwanini serikali wasiwape pikipiki vijana wa Dodoma wanawapa wa Arusha waliowakataa?

    arusha na cdm ata ukiweka nini hao ni cdm damu wako vizuri
  17. K

    Kwanini serikali wasiwape pikipiki vijana wa Dodoma wanawapa wa Arusha waliowakataa?

    hivi kwani zimetolewa bure tuwe wakweli ci wanaitaji wazamini kumi na mali isiyoamishika alafu nasikia elfu nane kwa siku ulipe ndani ya mwaka mmoja mbona inakuwa na riba au kwa maana mpya rahisi ukinunua cash nafikiri jana kampuni za pikipiki zilikuwa zinafanya maonyesho
  18. K

    Mheshimiwa Lema badilika kama unataka kuwa mwakilishi mzuri wa Arusha

    kuna watu walikuwa hapa wakipiga ramli mtuu flani hatoboi hata mwaka aushi leo naona wengi wao washatangulia mbele za haki ombeni ili mpate maono
  19. K

    Mheshimiwa Lema badilika kama unataka kuwa mwakilishi mzuri wa Arusha

    lema atatoka tuu ata mandela aliwekwa ndani kwa kusema ukweli sasa tofauti nini kwa lema
  20. K

    Mheshimiwa Lema badilika kama unataka kuwa mwakilishi mzuri wa Arusha

    tungekuwa na mbunge kama lema leo hii msaada wa mashine za kufua zingekuwepo hospitali ya mount meru wanna mnajua na manisha niini
Back
Top Bottom