Search results

  1. M

    hali tete Arumeru

    jamanieeeeee! wizi umeanza! masako aache ukada!
  2. M

    Updates: Zoezi la kupiga kura - Arumeru East

    Mkuu ukimaliza kupiga deck nianzime Mopa yako!
  3. M

    Updates: Zoezi la kupiga kura - Arumeru East

    Tuendelee kuchunga kura hadi mwisho,tulianza na Mungu tumalize na Mungu. Ushindi ni baada ya kura kuhesabiwa na kujumlishwa. Tumkumbuke dicteta Stalin aliyesema'mpigakura hana kauli ya mwisho ila mhesabu kura'.Tulinde kura zetu, magamba ni wataalamu wa kuchachua!
  4. M

    Ni nani mtunzi wa wimbo, "Mabepari Walia" na yuko wapi?

    Mmenikumbusha mbaaali sana! Kaburu matata chinja! leo hii ndo wawekezaji wetu TZ!
  5. M

    Updates: Zoezi la kupiga kura - Arumeru East

    Hata kama magamba mtakulanyasi, chopa itaendelea kuzungukia vituo,kama hamtaki u can go to hell! gharama za chopa ni vijisent tu! acheni uvivu wa kufikiri! wivu wa kike huu!
  6. M

    Updates: Zoezi la kupiga kura - Arumeru East

    Magamba huwa hayasomi katikati ya mistari!
  7. M

    Updates: Zoezi la kupiga kura - Arumeru East

    Igunga pacha wa magamba _CUF alikuwa na mtaji wa kura 11,000!
  8. M

    Live:hali katika vituo arumeru shwari

    Mkubwa hakombi mboga! leo hadi kieleweke! CDM tusitoke vituoni hadi matokeo ya mwisho!Peeeoples
  9. M

    CCM wataka kuanzisha machafuko Arumeru. Watumia gari la Diwani

    Hesabu kweli ngumu kwa magamba! hivi hujui substitution theory?
  10. M

    CHADEMA: Tunalinda kura kwa helcopter

    Mbwa ni mbwa tu! Acha hizo gamba weeee!
  11. M

    Live:hali katika vituo arumeru shwari

    Komba Jr, endelea kutujuza kinachoendelea huko, Usultani una Mwisho! Leo tuone kipi cha kwanza katika hivi: kutooa au kusali?
  12. M

    What Does It Mean "The Professional"

    shahada yake ya kwanza ndo professional yake,mazagazaga mengine ni nyongeza tu! Angalizo hapa ni kwamba a jack of all is a master of none!
  13. M

    TBC aibu leo!

    Maumivu ya kichwa huanza polepole! Tido toka Bush House London,tukamleta TVT Bamaga,TVT ikawa TBC! Tukamtimua!
  14. M

    foleni ya leo bagamoyo road kiboko

    Ni vibarua tu mzee, ningekuwa mjasilia mali ningeshasepa! bongo noma!
  15. M

    Kilichofanya TSH istabilize Against USD

    Tufungueni macho wachumi! pro Lipumba,Dr Jk leteni michango yenu.
  16. M

    Mwakyembe awaliza watu wa Kyela

    20% Bange, bange, bangeeee! ilinifanya nikusahau!
  17. M

    David Jairo bado anatanua serikalini

    panya ni panya tu! awe na mkiai mrefu au mfupi ni panya tu! Magamba huwa hayatupani kamwe!!
  18. M

    MKAPA kweli amejiaibisha

    Hapo kwenye kichapo umenikumbusha mbali kweli! jamaa na bakora mama na muhogo mkononi! kwa minada yetu, naamini ile bakora ya che nkapa itanadiwa bei mbaya!
  19. M

    Watangazaji ITV wanaaibisha

    Jamani hili ni jukwaa la siasa, tujadili siasa, tusijeambiwa tu wavivu wa kufikiri bure!
  20. M

    MKAPA kweli amejiaibisha

    Kweli che Nkapa! Mzee wangu wa Lupaso a.k.a mzee wa macheni na mapete ya kijini, watanzania tu wavivu wa kufikiri na tuna wivu wa kike! tukipewa fursa hatuzitumii vema, heri yako uliyegeuza Ikulu pango la walanguzi! ukaunda ANBEN,ukajiuzia Kiwira, first naye akajiundia ka NGO,mwana nae boss Simu...
Back
Top Bottom