Search results

  1. B

    Selection Kidato cha Tano 2014/2015: Majina yote haya hapa

    shule Kajunguti, mvulana no 0056. nisaidieni jamani
  2. B

    Ufafanuzi wa CHADEMA Kuhusu Maazimio ya Kamati Kuu - Novemba 2013

    Kawaida ya taasisi au umoja inatakiwa isiwe milki ya mtu mmoja au kiongozi mmoja kutoka ktk safu ikajenga hofu ya maendeleo ni maajabu! Sioni sababu ya watu kushadidia kuwa chama kimemeguka, ni maamuzi mazuri tunayapongeza kwa uongozi wa Taasisi imara isiyomtegemea mtu mmoja, endeleeni kuondoa...
  3. B

    Tanzania to open Kiswahili teaching offices in foreign countries

    Vizuri kabisa, nami ninahitaji kazi hiyo
  4. B

    Nini maana, umuhimu na kazi za hotuba za kambi rasmi ya upinzani?

    Ninatambua umuhimu mkubwa wa wapinzani, lakini hotuba za wizara zao ni za nini?
  5. B

    Nini maana, umuhimu na kazi za hotuba za kambi rasmi ya upinzani?

    Wana JF, ninaomba kuelimishwa kuhusu uwepo wa baraza KIVULI ktk bunge la Tanzania. Kila waziri husika ktk wizara fulani, hufuata hotuba/bajeti ya waziri kivuli na mipango yako. Hawa watu wana kazi gani? Nini maana, umuhimu na kazi ya bajeti ya kambi ya upinzani? Je, hutekelezwaje? Msaada tafadhali
  6. B

    Nini maana ya bajeti ya kambi ya upinzani?

    Wana JF, naomba kuelimishwa umuhimu, kazi na maana ya hotuba za kambi rasmi ya upinzani. Kila baada ya waziri husika kusoma hotuba/bajeti ya wizara yake, waziri KIVULI naye husoma hotuba yake. Hawa watu wana kazi gani? Bajeti zao zina maana gani? Je hutekelezwaje? Naomba kuelimishwa hapo.
  7. B

    Leo ktk bajeti

    Tunang'ojea kuona kama bajeti kuu ya serikali itajibu mahitaji muhimu ya wananchi!
  8. B

    msaada:Nitapataje kitabu hichi

    Huku, sahihi ni 'kitabu hiki' tembelea jukwaa la sheria
  9. B

    Methali za makabila mbali mbali

    Omukazi kalichumba ebhitahile omanye aragaine no 'omugenda. (Kinyambo hicho). Tafsiri: Mwanamke akipika chakula kisiive jua ana miadi na mwanamme mwingine nje ya ndoa.
  10. B

    CHADEMA wanasa mikakati ya CCM, Kinana kumwondoa Tundu Lissu Bungeni

    Mfa maji haachi kutapatapa! CCM itaisha tu
  11. B

    Matokeo ya Kidato cha Sita YATANGAZWA!

    Kwa ufaulu huu, safi kwa baraza hakuna kurisit
  12. B

    Nini maana ya neno UCHOCHEZI?

    Ndg. CCM wako sawa kilichokuwa kikisemwa ni uchochezi. Maana ndogo tu, uchochezi ni kusema au kufanya jambo ama kutumia kauli fulani za kuibua hisia kali za wasikilizaji, mara zote uchochezi ni jambo baya! Sasa CCM hawatofautishi jambo hili baya na UKWELI ambao daima ni mzuri. Kwahiyo ukweli...
  13. B

    Kwa wasomaji wa Riwaya na hadithi, Someni hii!

    Ndugu mmoja alisema 'Watanzania ni wavivu' nikamuuliza 'katika nini?' Kumbe nimegundua sehemu mojawapo ni katika kujisomea! Mbona comments nyingi kabla ya kusoma? Nani kapitia riwaya hiyo? Nitarudi nikimaliza kusoma.
  14. B

    Mhuu.. hii kali! Haki ya tendo la ndoa

    Kwamba wanaume wanahitaji kuagana na wake zao kwa tendo la ndoa ndani ya masaa sita baada ya mke kufariki! imekaaje hii? Mwanamke akihitaji haki hiyo itakuwaje?
  15. B

    Pipooooooooooooos............. .....power!

    Ya Arumeru na Kirumba yanatia moyo. Tunasonga mbele!
  16. B

    Kwa hali inayoendelea UDSM tutamkumbuka Al - Shaabab

    The strongest man in the world, is he who stands alone! Stand and do it yourself bro.
  17. B

    Nimeipenda sana Hii Thread. Hebu soma na wewe uchangie.

    Siasa huvuruga ufanisi wa mambo, walitangaza F.II kuna kurudia bila 30 sasa wamesema tusubiri mwaka mwingne, ukifika kutajitokeza jingne. Hapo lazima kuwa na wanafunzi vilaza wengi. Nawashukuru mlionikumbusha zamani tulipoweza kutaja nchi nyingi, viongozi wake, uchumi wake, masuala ya uhuru, n.k...
  18. B

    Kiswahili na mambo ya fedha shida kweli!

    Tafadhali, nisaidieni kiswahili cha 1. net pay 2. gross pay.
  19. B

    Methali mpya

    Ya ukweli!
  20. B

    Mtazamo wangu: Walimu wa diploma ni bora kuliko ambao hawajapitia diploma wakapata degree

    Mtoa mada, jipange bado hujaweza kushawishi kwa hoja zako. Kama unamalizia hivyo kaa kimya uendelee kuamini hizo fallacy!
Back
Top Bottom