Search results

  1. F

    naombeni kuuliza, hii ni nini hasa???

    swali moja je kwanini ulijiingiza vidole huko******* ni kwa sabu ulitamani kufanya hivyo au? na je ukiwa macho huwa unawaza uki***** na unafanyaje ukiwaza hivyo?
  2. F

    Elections 2010 Kuzomewa kwa CHADEMA wakitoka bungeni

    CCM kwa ushamba wao wanaipandisha chati CDM, kama kuna mtu alikuwa ana wasi wasi kuwa vyama vya CUF, TLP & NCCR- Mageuzi ni matawi ya CCM, sasa amepata uthibitisho
  3. F

    Nahisi nilimegewa

    mzee bila kumung'unya maneno ALIMEGWA, mimi nilizaa na mwanamke lakini hatukuoana kila nikikutana kama nikitaka KUMMEGA ANANIKUBALIA hajawahi kuninyima, hiyo ni kweli kwa watu wote waliozaa pamoja wakijisikia kukumbushia huwa hawanyimani
  4. F

    Raia Mwema Forbidden Edition - Will it come out tomorrow?

    nchi yetu sote hawawezi kutukimbiza sisi, km wanataka amani wawe fair
  5. F

    Majina ya Waliopendekezwa Viti Maalum na hoja za Leticia Musore

    mwache aende nccr vigezo tumevikubali, mapandikizi yote ya ccm yataondoka safari hii huku yakiimba wimbo waliofundishwa na kikwete wa udini mimi nasema waache waende chadema ni chama makini watabaki wananchama safi wenye mapenzi ya dhati ya kuwaokoa watanzania toka kwenye makucha ya ccm na sio...
  6. F

    Wabunge wa CHADEMA watoka nje kususia hotuba ya Rais Kikwete

    :smile-big: nimefurahi, sasa tudai katiba na tume huru. aluta continua
  7. F

    Elections 2010 Ni nani aliyeingiza udini kwenye kampeni hizi?

    :A S angry: nachukia sana anaposema kuna udini wakati yeye mwenyewe ndio analeta udini
  8. F

    Wanasheria (LAWYERS), mpo?

    wanasheria mnatakiwa mjibu hoja na sio kutukanan, na kama ni kweli nyie ni wanasheria mliomtukana huyu jamaa aliyeleta hoja yake napata wasi wasi kuhusu uanasheria wenu
  9. F

    Movement: Tunataka Katiba Mpya Tanzania

    Tunahitaji katiba mpya haraka sana ili Taifa hili la Tanzania liweze kuendelea, katiba hiyo mpya inahitaji kuwa na yafuatayo 1.tunahitaji katiba ambayo itazipatia Bunge, Mahakama na tume ya uchaguzi nguvu zaidi ili vyombo hivi vifanye kazi bila woga 2. watu watakao kuwa kwenye vyombo hivi...
Back
Top Bottom