Search results

  1. U

    Rais Magufuli: Kwa mara ya kwanza Serikali itakusanya takribani trilioni 1.3 kwa mwezi

    Kabla walikuwa wanakusanya kiasi gani? toa trend
  2. U

    Mwaka mpya mawaziri wapya hawa hapa, kutangazwa hivi karibuni

    Unamkubali kwa lipi?? Labda Tz, kwa namna tulivyozoea, UN hawana mchezo wa kuigiza
  3. U

    Mwaka mpya mawaziri wapya hawa hapa, kutangazwa hivi karibuni

    Kabla hawajaingia waseme watafanya nini katika hizo wizara. Siyo kuchaguana tu jamani. Let them come with their strategy/manifesto and if they fail to implement what they promised, waachie ngazi... Waziri anachaguliwa matatizo ya maji ndio yanaongezeka, umeme usiseme...Si afadhali wasiwepo???
  4. U

    PHOTO: China handovers Certificate of Vehicles; offers Tanzania more interest-free loans

    Jamani hawa wachina ni hatari, kwa nini viongozi wetu hawaoni? Iweje washikwe na meno ya tembo tena kwenye meli za kijeshi? Hizo service zao ni danganya toto.. unampa pipi unachukua simu yako ya Sumsung S4 aliyoshika.
  5. U

    Mnaotaka nafasi za ubunge kupitia CHADEMA mmeisoma hii?

    Unataka kubebwa?? Jisaidie mwenyewe
  6. U

    Ex-Rwandan spy boss (Col Patrick Karegeya) 'assassinated' in Johannesburg (South Africa)

    Jamani, huyu ni yupi.. Kuna mwingine alishauawa South au.....?
  7. U

    Wachina wakamatwa na Shehena ya Meno ya Tembo Bandarini Dar

    Shida si Wachina, hii ni biashara ya CCM
  8. U

    Wachina wakamatwa na Shehena ya Meno ya Tembo Bandarini Dar

    Shida si Wachina, hii ni biashara ya CCM
  9. U

    Operesheni Tokomeza: Serikali kuwafukuza mawaziri wanne kazi haitoshi…!

    HIvi na wao wanavyodhalilisha tembo, mnaona sawa?? Wawataje na hao vigogo wanaoshirikiana nao...Baada ya kuona wanajulikana wahusika wote, wanageuza kibao na kushikilia bango la haki za binadamu. Pole saana Kagasheki....
  10. U

    Prof Nhonoli afariki - kimya! Wasomi hawathaminiwi

    Ndio Tz hii. tutawafahamu saana akina Kanumba, Lulu nk mpaka Tutafika tuu....
  11. U

    Baraza la Mawaziri: Nani atoke, Nani abaki, Nani aingie?

    Sasa Asha Rose anaikosoa nini serikali? Au ni kuwekana tuuu.....
  12. U

    Zitto Kabwe More Than Meets the Eye!

    Wamchukue sasa
  13. U

    Haya ndiyo Makosa 11 anayotuhumiwa Zitto Kabwe na chama chake cha CHADEMA...

    Mchukueni sasa; kwani shida iko wapi? He will be a resource person in your party
  14. U

    Pendekezo: CHADEMA muwasamehe Zitto Kabwe na Kitila Mkumbo

    Huyu nae....utatukanaje wenzako in the name of democracy??? Hapa hakuna umoja kabisaa. Mbona nilifikiri huyu kijana ana busara saana....Kiongozi mzuri ni yule aliye na uwezo wa kujega team ya anayoingoza hata kama kuna changamoto.
  15. U

    Ufafanuzi wa CHADEMA Kuhusu Maazimio ya Kamati Kuu - Novemba 2013

    Kama ni kiongozi mzuri alipaswa kuyajadili hayo kwenye vikao halali, kwa nini kichinichini na kikundi cha watu? Huu ni unafiki mkubwa usiotakiwa kwa kiongozi yeyote....
  16. U

    Sijajiuzulu uongozi CHADEMA-Prof.Baregu

    Narrow minded....Katiba ni ya mwenyekiti au wananchi?? amemtumikia mwenyekiti au wananchi......?
  17. U

    Kifo cha dr. Mvungi si ujambazi bali tukio lamtandao, askofu same

    Siyo ujambazi kabisa............Yatafunguka tu.....kama ya Kapuya.....
  18. U

    SWALI: Hizi Pembe za Ndovu zinazokamatwa zinapelekwa wapi??

    jamani, mbona hatuoni hizo kesi mahakamani? Ni nani amihukumiwa tangu waanze kushika meno ya tembo?? Viongozi kuweni na huruma na hii nchi
  19. U

    Ufoo Saro wa ITV ajeruhiwa kwa risasi, mamake auawa!

    Kaa, dada mchapa kazi huyuu... Mungu amjalie apone.....
Back
Top Bottom