Search results

  1. C

    Watatu wafariki katika ajali ya basi la mwendokasi na Pikipiki. Watu 20 mbaroni kwa kuharibu basi la Mwendokasi

    Hata ikiwa kwenye zebra as long as ni mwendokasi na angalia huyu jamaa alikuwa anaendesha, amebeba abiria na tena Mshikaki, halafu basi iliyomgonga ni ile ndefu...
  2. C

    Je, David Kafulila kuwa Katibu Mkuu mpya wa UVCCM?

    Katibu mkuu aweza kuwa above 40, huyo ni mtendaji
  3. C

    Dkt. Marcoss Albanie ni nani? Huyu mtu ni kifaa hasa!

    I bet to defer with you. Mashinji hakuwa hata kiongozi wa mgomo kivile bali alikuwa kiongozi wa postgraduate ndio walitumia kigezo hicho kumfukuza chuo. Kiongozi Imara 2005 walikuwa Ulimboka na Kigwangwalla. Pia ilikuwa utawala wa Mkapa na sio JK, ndio maana hata ile dec 2005, walimuomba...
  4. C

    Viongozi wa CHADEMA acheni kiburi, kubalini makosa na iombeni radhi Serikali, hali ya Lissu si nzuri

    Insurance anayo, NHIF walishapeleka ndege ya kumhamishia Muhimbili unfortunately CDM waliiturn down.
  5. C

    NYARAKA: Wizara ya Madini iliidhinisha thamani ya Almasi ya Sh. Bilioni 14 kama thamani ya awali kusubiri mnada Ubelgiji

    Jibu ni simple wahusika wote wanachukuliwa hatua kali za kisheria. Hawa jamaa hawana haja ya kulalamika sana waiombe serikali iwapatie kiasi chao halali kile kilichozidi wakikane basi.
  6. C

    Wakati wa mimi kusema umefika

    makaburi haya mnaendelea kuyafukua tu
  7. C

    Magufuli awashukia viongozi UVCCM Shaka na Sadifa

    KAMA ILI VYO KWA KAMANDA WEMA
  8. C

    Mawakili Msipoitumia leo na kesho, Mtakuwa mmewasaliti Watanzania

    Yaani kisa mwenyekiti alijua jana ana kesi basi akasema jumanne na jumatano. Haya,
  9. C

    Naomba mpunguze stress ya siasa za bongo hudhurieni kesi ya Raila/Uhuru Live

    ahsante sana. ila jamaa haitwi Laila ila anaitwa Raila
  10. C

    CHADEMA kuiunga mkono Jubilee ni kujisaliti

    CCM haijawahi kumuunga mkono RAILA, jifunze kutofautisha CHAMA na MTU
  11. C

    CHADEMA kuiunga mkono Jubilee ni kujisaliti

    Wana haki ya kufanya hivyo, nao wembe utakapokuja kuwanyoa watajua kama ni butu ama la Walimuunga mkono 2013, ndugu. Walipeleka mpaka magari ya M4C, lakini pia na JPM alienda kumuunga mkono swahiba wake
  12. C

    Sumaye: Sirudi CCM pamoja kuwa nitateseka kwa visasi hivi

    Siungi mkono kunyang'anya mashamba kwa visasi. Lakini pia wananchi wana tabia mbaya kuvamia mashamba ya watu bila sababu za msingi
  13. C

    Diwani Bananga wa Sombetini Arusha: Kwanini CHADEMA wanamuunga Uhuru Kenyatta

    Mi ninakubaliana na ninyi and you don't need to justify it. What i see ni kuwa nafsi inawasuta
Back
Top Bottom