Search results

  1. sembuli

    Vitanda vya zege kwenye gesti

    Wewe yaelekea NI wa dodoma [emoji3][emoji3]
  2. sembuli

    Mimi ni Mtaalamu wa kilimo

    Nimeshaku-PM My email mkuu
  3. sembuli

    Mimi ni Mtaalamu wa kilimo

    Naomba nitumie HYDROPONIC NUTRIENT FORMULA ya nyanya Na Tango
  4. sembuli

    Ester Bulaya: Prof Magembe ni mwepesi kama 'tishu'!

    Mwepesi = legelege = goigoi
  5. sembuli

    Mchepuko wa Kikorea umeng'ang'ana nirudi nao Tz

    Kama wewe Na mkeo mnaishi Dar Es salaam , mkorea kaishi naye morogoro!!! Itakuwa rahisi kukagua makoloni yote mawili
  6. sembuli

    Tanzia: Mtanzania Andrew Sanga amefariki dunia huko Houston Marekani

    Mazishi kesho Dodoma [emoji1374][emoji1374][emoji24]
  7. sembuli

    Rais Magufuli atengua uteuzi wa Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga, Anne Kilango Malecela

    Bwana magu alitoa Na bwana magu ametwaa......
  8. sembuli

    Weekend Story: The Art of Staying Married! (The grass is always greener on the other side)

    Dada Lara , Asante Kwa nice story , lakini kuna maswali mengi sana ktk hii story Bado hayajajibiwa, ambayo ukikaa ukatulia Basi unaweza tengeneza episodes hata 5 Za muendelezo !!! Swali Na:1, nini hatima ya Liston hasa ukizingatia zabibu ana nyota ya bahati mbaya ya kuua wanaume!!! Ningependa...
  9. sembuli

    Ushauri kuhusu Nissan X-Trail

    Kabla sijakushauri ningependa kujua Wewe Ni Ke Au Ni Me?
  10. sembuli

    Nataka kununua Alteza; ni bora ninunue KUPATANA au BE FORWARD?

    Kama unatafuta gari ambayo , haili sana mafuta, ina Mwendo , Na ipo stable barabarani hata ukiwa speed 170km/h . Basi tafuta TOYOTA CAMRY SV 40. Hii ktk safar ndefu utaipenda , HAPA MJINI WANAZIITA "aliendesha babu hata mjukuu analitumia" Engine yake Ni 3s/4s , body nzito , Spea cheap ... Mimi...
  11. sembuli

    AJALI: Basi la Princess Muro lapata ajali maeneo ya Kimara, Dar

    Safari huwa ngumu sana inapokaribia kuisha !!!! Kama marathon
  12. sembuli

    Gazeti la Jamhuri linatumika kumchafua Dr. Mpoki

    Hili gazeti la Jamhuri kumbe ni la hovyo hivi??? Linachafua watendaji wema , Kwa manufaa ya wachache. Mbona lilikaa kimya kashfa ya Januari Makamba Na mzungu wa dadake???? NASHAURI SERIKALI IWE MAKINI NA WIZARA YA AFYA , INAWEZEKANA IKAWA NI WIZARA INAYOONGOZA KWA MAJUNGU AFRIKA MASHARIKI ...
  13. sembuli

    Natafuta mtaalam/mganga wa ukweli

    Vipi Na wewe upo benki kuu nini ⁉️⁉️⁉️ Mungu akunusuru Na utumbuaji
  14. sembuli

    MwanaHalisi: Kikwete akomba hazina! Fedha zilizopo hazitoshi kuendesha serikali hata siku 20

    Sio bugando peke Yao mkuu, pia INTERN DOCTORS WA TUMBI hospital NAO HAWAJALIPWA tangu September!
  15. sembuli

    Rais Dkt. Magufuli afanya ziara ya kushtukiza Wizara ya Fedha

    Anataka kutusahaulisha goli la mkono !!
  16. sembuli

    Zanzibar kumetokea nini hivi punde?

    Naona hapa Kibaha kuna Mpemba anashangilia pia!!!
  17. sembuli

    Ahadi za Rais Joseph Pombe Magufuli awamu ya tano, 2015 hadi 2020

    1.Kujenga flyover 4 dar Es salaam , 2.Uwanja wa ndege wa kimataifa dodoma !!! 3.Umeme wa upepo singida 4.Kunyang'anya ardhi zisizoendelezwa 5. Kuboresha maslahi ya watumishi wa serikali !!!! 6.Kulinda muungano na mwenge !!! Loading............
  18. sembuli

    Nchi haina furaha kabisa, kwa maoni yangu

    Tangu juzi bendera katika Moyo wangu inapepea nusu mlingoti !!!!
  19. sembuli

    Msaada wakuu: Watoto wawili mapacha lakini mmoja baba kamkataa

    Inawezekana Kwa ZEC NA NEC ,,,, hii nchi ya kihuni sana !!! Yaani tupo Kama mifugo ya ccm!!!!
Back
Top Bottom