Search results

  1. F

    Kituo cha kusaidia vijana wanaovuta bangi Dar es salaam

    Salam kwa wote Jaman naombeni msaada wa kituo ( kiwe dar es salaam) kinacho saidia vijana wanaovuta bangi. Nina wadogo zangu wanavuta bangi nimejaribu kuzungumza nao naona imeshindikana kuacha, sasa natafuta msaada ni nini cha kufanya ili waache maana inanisikitisha sana.
  2. F

    sakata la mwanamke aliyenyang'anywa mtoto na mhindi; ITV na CHANNEL 5 wafungwa mdomo

    Tanzania inapoelekea si kuzuri, Ukiwa na hela hata kama mjinga basi wewe ni sahihi, Tuache ulimbukeni sasa apo msamaha ni wa nini? kama hakimu anaelewa sheria vizuri ilibidi aonyeshe confidence kwa mwaandishi wa habari kua hairuhusiwi kuhoji kesi inayoendelea badala yake akajitoa kwenye kesi...
  3. F

    Airtel mbona mnatupandishia bei ya bundle bila taarifa?

    Airtrel jifunzeni kua na ustaharabu, ni vyema mge tutaarifu wateja wenu, then kwa jinsi iyo rate ilivyopanda kwa kiwango kikubwa mngepaswa kutoa sababu za msingi.
  4. F

    Producer wa mkaa bora Kilimanjaro au tanga

    Dear wana jamii forum, Naitaji kufanya biashara ya mkaa bora( biomass briquette). Nimefanya uchunguzi nikaambiwa kuna kiwanda kipo tanga kinatengeneza kwa wingi, tatizo sijajua kipo tanga sehemu gani na ni kwa vipi naweza kupata mawasiliano yao ili nifanye uchunguzi kama biashara...
Back
Top Bottom