Search results

  1. Tungaraza Jr

    Zitto: Watanidharau, watanicheka, watapambana lakini nitashinda!

    Kumuelewa ZITTO you need to dust yourself, come with clear mind. Go on Zitto but it will be better if you do all these under you political party. Yet all is well.......
  2. Tungaraza Jr

    Backlash to the Backlash: Finally, some Muslims are looking in the mirror.

    Natamani walio na fikra potofu wapitie hapa kuona mitazamo ya wenzao katika dini moja, utofauti ni kujua nini maana ya dini yao na misingi pia. PEACE is nOt VIOLENCE
  3. Tungaraza Jr

    Updates, NHIF na GEPF interviews

    NSSF je unakumbuka nyomi iliyokua IFM? Mtu kasoma TAX anaenda kufanya ACCOUNTING mimi hoi......
  4. Tungaraza Jr

    Sweden yalaani mauaji ya Mwangosi;Yasema kumuua mwandishi ni kujichafua:CHADEMA wahoji kamera ya Mwa

    Unakumbuka NIGERIA na kuuliwa kwa AMINA kwa mawe? Hii ni demokrasia na uhuru wa habari na ndio funguo ya midomo ya Marekani. Demokrasia hakuana umevunja uchumba na Marekani. Use your common sense!
  5. Tungaraza Jr

    Updates, NHIF na GEPF interviews

    Ndio maana nikamshauri oumbe Mungu kwanza coz kazi hizo ni kila kigogo anazitolea macho na bado watoto wa shemeji zao. Its hard to take yet we keep the faith. Hata mimi nimo kwenye mchakato huo ila mingi ilipita kwa stail hii. Written then kimyaaa...... Kabla ya hii ya juzi kuna zilizotangazwa...
  6. Tungaraza Jr

    Sweden yalaani mauaji ya Mwangosi;Yasema kumuua mwandishi ni kujichafua:CHADEMA wahoji kamera ya Mwa

    Shuka ndo linafuliwa na ni usiku wa saa3 sjui nn kitaendelea, na wenzetu wakishikilia msimamo ni huo. Naisubiri marekani ikiamka mjue CCM kushney hata kama wanataka kuwahonga Uranium.
  7. Tungaraza Jr

    Updates, NHIF na GEPF interviews

    Kua mcha Mungu na atakutangulia nchi ishauzwa itakua ajira?
  8. Tungaraza Jr

    Tpdc- ndo shortlist iyo au ndo .....

    Hii ni kwa mujibu wa baba yako mdogo ndo kakupa uhakika wa kupata sio, mbumbumbu na PICUH degree zenu. "Eti TOWEL" bora una wa kukubeba coz hujui hata degree yako ina kujenga kua nani.
  9. Tungaraza Jr

    Nilichokiona udom

    Here we go
  10. Tungaraza Jr

    TANIL SOMAIYA: Kutoka kuuza project maofisini, BAE na kumiliki SHIVACOM

    http://allafrica.com/stories/200804281397.html Dar es Salaam - In a new twist, a top businessman in Tanzania, Mr. Tanil Somaiya who is at the centre of controversy in relation to allegations of his involvement in recent scandals in Tanzania, has broken his silence saying that he has "never...
  11. Tungaraza Jr

    TANIL SOMAIYA: Kutoka kuuza project maofisini, BAE na kumiliki SHIVACOM

    Huyu ni kijana wa Mwanza kama sijakosea na alianza maisha kwa kutengeneza PROJECTS huku akisaka wahisani kuzifund projects hizo. Mjini shule ninajiuliza alidaka vipi mchongo wa BAE? Kanunua ULTIMATE SECURITY na SHIVACOM kwa hela ile ya serikali na ndio super dealer wa IVECO Tanzania. Kwa...
  12. Tungaraza Jr

    Chadema wanakuwa double standard polisi wanapo wauwa wafuasi wa vyama vingine

    CCM walilalamikia hili jambo coz unaandika as if walitoa hata tamko,na ukweli ni kua mwaka ule maji yalizidi unga kwa CCM katika uchaguzi na mlipochakachua ndio umma ukaja juu na nyie kutunia dola kuwaua na kuogofya. Pia kuja na tamko au ushahidi wa CCM juu ya hili. Nina ualakini na elimu...
  13. Tungaraza Jr

    Said Mwema - Kuwa shemeji ya Rais ni leseni?

    Imeandikwa na Lula wa Ndali Mwananzela kwenye gazeti la Raia Mwema toleo la 256 INGEKUWA kwenye nchi ambayo ina utawala wa sheria na haki za kiraia na zile za kibinadamu hushikiliwa kama tunu, basi, Inspekta Jenerali wa Polisi (IGP) Said Mwema na Kamanda wa Operesheni na Mafunzo wa Jeshi...
  14. Tungaraza Jr

    Vioja vya JK: Atunukiwa tuzo ya kimataifa ya Kilimo

    Toa starts za outputs imeongezeka kwa kiasi gani na Ghala ya Taifa ina kiasi gani otherwise you are an IDIOT. Matrekta yaliyokuja ulikua mradi wa wajuao na wakulima wa kawaida hawawezi hata kumudu kuliendesha hata akipewa bure ukizingatia hakopesheki in Financial institutions. Ni wakulima...
  15. Tungaraza Jr

    Dr. Hamis Kigwangalla Kufanya Maamuzi Magumu Jumanne wiki ijayo

    Mwenye kutoa maamuzi mazito hua haproject days to say so, sema anataka attention kwa umma uliomsahau kwa hoja zake za majitaka. Just playing SMART now...........!
  16. Tungaraza Jr

    CHADEMA yasitisha oparesheni M4C na kuitisha kikao cha Kamati Kuu

    Inabidi wamualike na Mwema shemeji wa JK
Back
Top Bottom