Search results

  1. vaspanya

    Ukikuyu mbioni kuja Tanzania

    hivi TZ kuna kabila la Waarusha? Samahani naona kama vile umekurupuka huijui vizuri Tanzania........huku kwetu Tanzania hakuna kabila la waarusha
  2. vaspanya

    Updates: Kampeni za mgombea urais kupitia CCM ndani ya jiji la Arusha

    toka jumamosi pale ccm mkoa wa arusha wanagawa t-shirts kofia na mavuvuzela kwa wale watoto wa mitaani wanaolala pale uwanja wa stadium.....Monabani hawezi shinda Arusha mjini hata cku moja.....hata kama Lema atajitoa leo...
  3. vaspanya

    Picha: KATIBU MKUU WA CCM NDG. ABDULRAHMAN KINANA AKUTANA NA WAENDESHA BODABODA JIJINI MBEYA

    naona vijana wa bodaboda wanaonesha ishara ya vidole viwili....sasa cjui hapo inakuwaje
  4. vaspanya

    Unafiki wa Zitto Kabwe na suala la Posho - Lema

    Najaribu kutafakari na kujiuliza kama haya yanayoendelea hapa ni sahihi...... Naomba mwenye uelewa mzuri wa haya mambo anieleweshe........ Otherwise naumia sana kuona mambo yanavyoenda kwa sasa.
  5. vaspanya

    Dr Slaa alienda kusomea urais Marekani?

    Hii rambirambi maanaa yaake nini?? Maana mimi sielewi...na mara nyingi huwa nalikuta kwenye thread zinazomuhusu CRISS LUKOSI.
  6. vaspanya

    umeshawahi kuona...?

    Hyo ipo kimanzichana-mkuranga...... Ni nyumbani kwa baba yake 20%
  7. vaspanya

    CCM Arusha kuwafukuza madiwani wake wanne leo

    hapana hapana....hyo kitu haiwezekani kabisaaaaaaaaa hata ashuke Yesu....haitakaa itokee.... matokeo ya 4:0 hawajamaliza kuuguza kidonda.....leo tena wajigeuzie kibla wenyewe.....haiwezekani
  8. vaspanya

    ISP Daudi kaletwa na helcopter ya polisi muda huu kutoka Kigoma kwa tuhuma za bomu Arusha

    Hapo yanatengenezwa mazingira ya kuihusisha chadema...
  9. vaspanya

    Nape: CHADEMA wamepewa fedha na wazungu kuvuruga mchakato wa katiba

    Huyu nepi nashindwa kumtofautisha na mtu anayeji......... Kidole .............halafu ananusa
  10. vaspanya

    Kofia kama ya Mwigulu sasa kuvaliwa na Kigwangalla

    Kwani ameshaenda china cku za karibu? Kama ndio basi tujiandae naa bomu lingine.
  11. vaspanya

    Uchaguzi wa Udiwani Sombetini. Nani mwenye ujasiri kugombea kwa tiketi ya CCM?

    Nafurahi sana kuzaliwa Arusha ila nasikitika sana kuwa shabiki wa YANGA kwani wote ni kijani.
  12. vaspanya

    Makamba: Mnyika acha Unafiki, sote tumeshindwa Bungeni!

    Acha kuwa mvivu wa kutafuta vitu.... Mbona hizo namba hata kwennye tovuti ya bunge vipo?
  13. vaspanya

    Live Updates: Uchaguzi wa Kata nne Arusha tarehe 14 July 2013

    huku kwetu ELERAI tayari watu wako barabarani wakiongozwa na LEMA.
  14. vaspanya

    CCM kuibuka kidedea uchaguzi Arusha

    Weka uzi mwingine wa kusifia CHAMA DUME(CHADEMA)....
  15. vaspanya

    Live Updates: Uchaguzi wa Kata nne Arusha tarehe 14 July 2013

    Naomba nikusahihishe kidogo.........kata yenye watu wengi ni ELERAI
  16. vaspanya

    Lcd flat screen

    Kwa arusha mm nafahamu wanapouza LG LED sh. 700,000/= mpya
  17. vaspanya

    Hawa ndo vijana wa R-chuga

    Sikiliza bonge la song kutoka kwa wala Bob Marley wa Arusha
  18. vaspanya

    Exclusive: CHADEMA yafichua mbinu za kukiua chama - June 23, 2013

    Mungu akiwa upande wetu ni nani aliye juu zaidi yake?
Back
Top Bottom