Search results

  1. John Black

    Tukumbushane vipindi vya ITV, CTN, na DTV 1994

    Atakuwa Nick Ngonyani huyo
  2. John Black

    Waandishi wa nyimbo za maua Sama mturudishie msanii wetu pendwa

    Maua Sama ana pure talent..nahisi management yake inamuangusha.. Kwa kipaji chake,huyu nandy hata nusu yake hafikii na hapo hatujaona peak yake bado..just imagine
  3. John Black

    Tukumbushane vipindi vya ITV, CTN, na DTV 1994

    Family matters..sio 21 jump street
  4. John Black

    Tukumbushane vipindi vya ITV, CTN, na DTV 1994

    Alikuwa anaitwa Joan nadhani.
  5. John Black

    Mnakumbuka Matangazo ya zamani ya Radio na ITV yalivyokuwa na mvuto!?

    Amazing.. I've travelled around the world with world link....aisee long time sana
  6. John Black

    Mshahara wa mwalimu level ya degree ni kiasi gani

    Unadhani ni sahihi kupost hii document kwenye mtandao?
  7. John Black

    DW: Rais Magufuli ni dikteta mpya Afrika? Yauliza kama bado kuna mtu ana ushabiki nae

    Hiyo twitter handle mbona siipati..na kama umetunga lazima tukuwajibishe
  8. John Black

    Walimu zaidi ya 600 wagomea kiwango cha posho kwa ajili ya semina

    Per diem kwa ndani ya wilaya,ndani ya mkoa na nje ya mkoa ina viwango tofauti. Hapo wangefuata utaratibu kungekua na tofauti ya malipo kutokana na mahali unapotoka mfano wa Iringa mjini asingelipwa sawa na wa Iringa vijijini au Mkoa mwengine wa Njombe..Hapo labda walalamikie hela waliyokatwa...
  9. John Black

    Gigy Money ana tatizo gani? Unamsaidiaje? Anatikisa hadi beach!

    Na ndio maana ukipata mtoto siku hizi unaulizwa, "umepata Dume au Kamalaya?"
  10. John Black

    Tukumbushane vipindi vya ITV, CTN, na DTV 1994

    Lile tangazo lilikua kali sana. Nakumbuka walitumia wimbo wa "Simply the best" wa Tina Turner kama sikosei
  11. John Black

    Tukumbushane vipindi vya ITV, CTN, na DTV 1994

    Kuna Channel moja ilikua inaitwa C.E.N ..sijui ilipotelea wapi
  12. John Black

    Tukumbushane vipindi vya ITV, CTN, na DTV 1994

    Kaka Channel 10 ni ya juzi tu..labda una maanisha DTV
  13. John Black

    Tukumbushane vipindi vya ITV, CTN, na DTV 1994

    Zile mechi Nigeria wanawapiga Argentina na Brazil 1996 Olympics ,kuna matukio nayakumbuka hadi leo.
  14. John Black

    Tukumbushane vipindi vya ITV, CTN, na DTV 1994

    Life goes On Moja ya TV Shows za kwanza kwanza kabisa ITV
  15. John Black

    Tukumbushane vipindi vya ITV, CTN, na DTV 1994

    hii nakumbuka ilikuwa inarushwa jumapili
  16. John Black

    Tukumbushane vipindi vya ITV, CTN, na DTV 1994

    huyu hajafa mkuu
  17. John Black

    UTUMISHI: Trade Officer II written interview

    ila haukua utaratibu mzuri zile documents mtu ana-download anakaa nazo kwenye simu au PC. Kama wanabadilisha tangazo wangeweka statement kwamba wamebadili ili kila mtu apate kujua
Back
Top Bottom