usiwaze kodi tunayotoa kumbuka amani inayopatikana inatoka wapi wenzako hawalali wanalinda mipaka kwa ajili yako wewe unaofanya biashara na kupulizwa upepo ikitokea vita watakaofaidi ni wanajeshi pekee wengine ni vilio tu mwanzo mwisho
TATIZO UNATAKA RAIS APENDELEE UPANDE MMOJA,NCHI HII HAINA DINI KILA MTU ANAABUDU KATIKA DINI APENDAYO,WAMEJARIBU KUSHAISHI IMESHINDIKANA.RAIS AJAE WATU WATAKUWA KIMYA
There are no emails in your Trash folder.
Hujui kufuatilia siasa,dr slaa alikuwa mwanachama wa ccm lakini baada ya kuenguliwa na ccm kura za maoni na kumweka qoro wa ccm,wananchi tukamwomba ahamie chama chochote naye akaenda chadema na akapita kwa kishindo hapa karatu.hiyo kadi unayosema imerudishwa muda mrefu baada ya kuhamia chadema...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.