nina rafiki yangu amekuja kuomba ushauri: ana mpenzi wake wana uhusiano wa mwaka mmoja. wanaishi mbalimbali, na tangu waanze uhusiano wameonana mara mbili tu ambayo ni mwezi wa kumi mwaka jana na mwezi wa kwanza mwaka huu.ila mwanzoni mwa uhusiano wao mkaka alikuwa anampigia simu sana, walikuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.