Search results

  1. C

    Mchaichai, jina la kisayansi

    mchaichai kisayansi ni mchaichai. kingeereza, kijerumani na kifaransa ndio sijui wanauitaje.
  2. C

    Mkapa above the law?: Allegations

    Hi kaka/sis, Natumai wewe ni mmoja wa vibaraka wa mkapa kama si jamaa basi ndugu la familia yako alifaidika na neema za mkapa. Jengo Pacha nalo utasema balali? masikini watanzania wamelisahau hilo jengo pacha mpaka slaa awabebee bango tena likiwa ni mara mbili ya wizi wa epa. unalinganisha...
  3. C

    UDSM ndio chanzo cha mfubao wa Elimu Tz

    WABONGO tunapeleka hella india kununua bajaji wakati tunao maprofesa wa uhandisi waliobobea. naamini ikitoka project ya kuunda kitu mithili ya bajaji itafanikiwa tu na inawezekana. kazi ilopo ni kuwapatia maprofesa wetu elimu nyingine ya kuamini kila kitu kinawezekana na mbongo pia anamudu.
  4. C

    Baraza jipya la Mawaziri kujulikana Feb 12

    Enyi watu wangu watanzania mbona mnaangamia kwa kukosa maarifa, je ni nani aliewaloga? Ni nani aliewaambia ya kwamba baraza`la mawaziri litaleta mabadiliko!
  5. C

    Kikwete naye amezidi uoga! gooosh

    lets wait and see
Back
Top Bottom