Search results

  1. S

    Natafuta Cable Moem

    cable modem iwe na coax port
  2. S

    Kwa wote ambao wanahitaji kujua jinsi ya kuhack!

    Zippyshare.com - The Web Application Hacker's Handbook - Discovering and Exploiting Security Flaws.pdf nendeni humo nimeupload book moja nzuri kweli..someni someni alaf mtaniambia kama ina mpangow au la
  3. S

    Kwa wote ambao wanahitaji kujua jinsi ya kuhack!

    nipo kaka hehehe,,masomo mengi
  4. S

    Kwa wote ambao wanahitaji kujua jinsi ya kuhack!

    jamani google haileti mahacker ,ukitaka kua hacker fanya practice home..au kasomee linux ,,ma hacker wengi hawatumii win7 wala mac..hua wanatumia os kama linux..hacking is not a study,na hiyo ethnical hacker course ujing tu mnafundishwa jinsi ya kujiweka secured..na kwa bongo hapa mhhhh shughuli...
  5. S

    Kwa wote ambao wanahitaji kujua jinsi ya kuhack!

    kuna ma webmaster wengine wanaweka site zao under full observation,wakiona ip mpya zimeping page zao watagundua tu so ni diffucult kuhack page,labda watu wakusanyike ndo mtaweza kuhack page..ila viji website vyenye hosting ambazo hazina protection ndo rahisi kuiba,,,ila mi mambo hayo sijataka...
  6. S

    Kwa wote ambao wanahitaji kujua jinsi ya kuhack!

    2jadiliane wote na 2elemishane.. Mi nimtafiti wa ma network ya bongo,nachunguza process zote na katika process ya kucheki napata kujua vitu vingi tuu,hadi wapi kuattack..but nimeona sasa ni mda wa kujiunga na wabongo wenzangu ili 2 fly high wote.
Back
Top Bottom