Search results

  1. X

    Madaktari Shinyanga watimua mbio baada ya mgonjwa kuonyesha dalili za ugonjwa wa Ebola

    Kwani wao hawana roho, Kaman wewe na huna vifaa ungebaki...??
  2. X

    Waziri Mkuu: Tumejiandaa vema kupambana na mgomo wa madaktari

    Ngwendu nafikiri hawa madaktari hujawaelewa vizuri! kuna mambo ambayo walikubaliana na serikali wakati wanarudi kazini kuwa watu ambao ni kikwazo pale wizarani ni hao mawaziri na inabidi watoke, maana hao madaktari wakifikia makubaliano na serikali hayo makubaliano yao inabidi yatekelezwe na...
  3. X

    Kauli ya naibu waziri wa afya ni udhbitisho wa raisi kumkatalia kujiuzulu!

    Tupe source......!!!!!!!!!! kama mkubwa wake hataki basi wananchi watamwajibisha kwani kuna nini katika uwaziri mpaka aung'ang'anie? kwani alizaliwa akiwa akiwa waziri? kwanza wengi tulikuwa hatujui kuwa yeye ni naibu waziri mpaka baada ya mgomo, maana siyo creative wanaonekana wakifungua warsha...
  4. X

    Madaktari bingwa Muhimbili waanza mgomo rasmi

    Jamani hata wale weupe anaowaomba misaada wanatushangaa kwa nini tulimpa yeye madaraka ya kutuongoza! jamaa hawezi kabisa wananchi wako wanakufa halafu upo kimia baada ya miaka mitano mkawaombe tena kura! Jamani hebu tuwe serious kidogo na msitakabali wa nchi yetu.
Back
Top Bottom